Leo moureen hana ujanja hahahaaa lazma achapweeee.
Hahahaaa wazee wa kupaki ma buss
Kuwa mpoleeeee.....more magoliz aa kamingi
Wanarukaruka sana
Kwanza wew kwa spain ni neymermess fc vipi kwa England ni chelbus nini?
Dakika ya 60 ubao uko vile vile... 1-0
Leo naona mabasi yanasukumwa tu yanapisha njia yenyewe, ful burdani
Gunner ww...... hv unaniona ugoro sana niishabikie hyo tim eh
Hagagagaaaaa
Hagagagaaaaa
Hahahaaaaa mou amesema ana hitaji big bus hahahaaaaaaaa.
Chelsea hivi ilichukuaje kombe jamani? everlenk ujege mamito
Nani analiaaaa hahahagaaaaaa
We mdau umesababisha nionekane chizi mbele za watu. Ujue nimejikuta nacheka ghafla!
Hahahaha basi la leo limebeba mbuzi nn maana halina direction
Wenzako wapo kwenye mafunzo ujuee sasa wewe chakaa tuu.
Hahahaha basi la leo limebeba mbuzi nn maana halina direction