Big Match: Arsenal FC vs Chelsea FC

hapana, litakua limebeba konokono na nyumbu

Busi leo lina pancha nazani.
Ila mimi hii gem sijaangalia nafatilia tuu matokeo.
Vipi leo hawajalipaki kweli?
 
Busi leo lina pancha nazani.
Ila mimi hii gem sijaangalia nafatilia tuu matokeo.
Vipi leo hawajalipaki kweli?

wapaki wasipaki ni sawa tu so long as wanachezea kichapo
 
Hahahah laaaazma kuna nyumbu..... cute b na everlenk ndo watia gundu wakuu wa game za Arsenal.....thijui wameshindwa kuroga leooooo??!!! hahahah

Hahahahaaaaa wamechapwa leo.
Nataman nione mou alivyo ning'inza mashavu
 
Last edited by a moderator:
Hongera the gunners, sasa huku mtaani tutaishi kwa amani maana kelele zote mmezikata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…