Big Match: Arsenal FC vs Chelsea FC

Tunasubiri Maneno ya Mourihno. Historia imeandikwa UK na Tz
 
Arsenal fc a.k.a(wakataji)...Chelsea a.k.a(wakatwaji).
 
Chelsea kwa wazee wake pale nyuma, wallah ubingwa wake atauckia kwny bomba.
 
Hongereni sana wa arsenal kwa ushindi, nyota njema huonekana alfajiri
 
Hahahaaaaa mou amesema ana hitaji big bus hahahaaaaaaaa.
Chelsea hivi ilichukuaje kombe jamani? everlenk ujege mamito

Mummy hata sikuuona huu uzi mi huwa nadili na subscription tu,......yaani nimepitwa duh!!!
 
Last edited by a moderator:
Tuweke mambo sawa kuna ubishi hapa Mara ya mwisho Wenger kuifunga Chelsea ya morinyo

mkuu Arsenal kuifunga Chelsea ya morinyo haina mwisho nadhan utakuwa umepata jibu baada ya mechi ya leo kuisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…