Big Match: Arsenal FC vs Chelsea FC

Big Match: Arsenal FC vs Chelsea FC

Cardinal06

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
963
Reaction score
326
Leo ni game ya utangulizi kabla ya ligi kuanza ambayo hujulikana kama mchezo wa kugombea Ngao ya Jamii (Community Shield).
.
Palee Wembley Stadium saa kumi na moja kamili jioni (17:00) kwa saa za Afrika Mashariki timu hizi mbili Arsenal FC chini ya kocha wake Arsene Wenger na Chelsea FC chini ya Jose Mourinho zitakutana uso kwa uso.

Nani mbabe? Nani mshindi??

Nn utabiri wako kwa game hii??
.
Karibuni
=====

MATOKEO

ARSENAL 1-0 CHELSEA

Oxlade Chamberlain 24'
 
Arsenal weupe sana kwa chelsea, acha tusubir itajulikana tu
 
Tuweke mambo sawa kuna ubishi hapa Mara ya mwisho Wenger kuifunga Chelsea ya morinyo
 
Leo ni round ya 14 Wenger hajawahi mpiga Morinho
 
Mou.. sikuwahi kufungwa na Arsenal.. Siku nkifungwa ntaona ni maigizo...
 
Back
Top Bottom