Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kaka we itakua sio mtu wa mpira.... Bora hata ingekua ndondo hicho ulichotaka kitokee kingetokea. Ila unajua kingetokea nini kwa timu yake kama angepewa red card (na ndio lengo la Juma Nyosso)? Pamoja na utukutu wa Rooney au Balotel umeshawahi kusikia wamepigana uwanjani?... Unahisi Boko ndio wakwanza kufanyiwa hicho kitu?niache ujinga kwasababu nimetaja yanga? na kwa huyo boko, kwani Juma nyoso hakumpiga kidole hadharani na yeye hakurusha hata kofi tu....mwanaume gani anaweza kuwa hivyo? ningekuwa mimi ndo kocha ningemweka benchi kuanzia siku ileile.
Simba Leo wameniganya nijute kwenda kucheki gemu hii pimbi kweli hawa ukweli inauma kutoka point nane mpk kuonekana wanajotoa kwenye mbio na hapa tutakuwa kama tumefungwa na yangaKuna kitu hakiendi vizuri Simba kwa sasa naona viongozi wameridhika tu na hali hii.Kwa matokeo haya Yanga sasa inapiga indicator kesho kushika uongozi wa ligi.Simba rekebisheni kasoro iliyoonekana kwa muda sasa ubutu wa washambuliaji.
Kaka nakusalimia kaka.[emoji379][emoji379][emoji379]
Shikamoo dada!Kaka nakusalimia kaka.
Safi sana , kesho tutakuwa kileleni Mkuu,Kweli Mkuu
Huku ni raha tupu.
Mpira karibia unaisha tuserebuke vizuri.
Hahahahahaaaaa
Yani weweWojoooooo wojooooooooo
Hahahahahaaaaa
I told ya guys
Simba hana namna ya kumfunga Azam.
Asante Bocco
[emoji39] [emoji485]