Big Match: Simba 0 - 1 Azam, Lamba lamba waondoka na mkia wa mnyama

Big Match: Simba 0 - 1 Azam, Lamba lamba waondoka na mkia wa mnyama

images
 
Nakumbuka maneno ya Haji Manara siku ya jana. Huyu ndiye aliyewaroga.
 
Kuna kitu hakiendi vizuri Simba kwa sasa naona viongozi wameridhika tu na hali hii.Kwa matokeo haya Yanga sasa inapiga indicator kesho kushika uongozi wa ligi.Simba rekebisheni kasoro iliyoonekana kwa muda sasa ubutu wa washambuliaji.
 
Back
Top Bottom