mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Labda kombe LA mganga.View attachment 464507 mkiteleza leo tuu mtatukuta kitonga na kombe letu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kombe LA mganga.View attachment 464507 mkiteleza leo tuu mtatukuta kitonga na kombe letu...
Hii suluu kesho tunashinda so tunakuwa sawa point ila sisi tutaongoza tunamagoli mengi yakufunga[emoji444] Zamu ya lambalamba
Msijali Yanga mabingwa kesho itakuwa kwetu [emoji39] [emoji444]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha ujinga mkuunikiangaliaga azam sports huwa namshangaa tu Boko, kitendo cha kupigwa kidole mbele za watu na yeye akanyamaza tu hajarusha hata ngumi. hivi mwanadamu akifanya kitendo kama icho kwa mtu kama mimi, mbona siku hiyohiyo ataenda ICU? afu kuna mwaka wachezaji wa timu fulani hivi walikuwa wanasemekana kurushwa ukuta ili wapate namba, kama sio yanga walikuwa simba miaka ile ya nyuma.
[emoji379][emoji379][emoji379]Leo ndio Yanga tutaongoza rasmi msimamo wa ligi kuu hadi mwisho wa ligi.
Hakuna namna ambayo Simba anaweza kuifunga Azam.
Tukutane jioni
niache ujinga kwasababu nimetaja yanga? na kwa huyo boko, kwani Juma nyoso hakumpiga kidole hadharani na yeye hakurusha hata kofi tu....mwanaume gani anaweza kuwa hivyo? ningekuwa mimi ndo kocha ningemweka benchi kuanzia siku ileile.Acha ujinga mkuu
Nahisi wewe unaangalia mpira wa liver sio huu mimi ninaouangalia!!!Azam fc 2 vs WAO 0
Mimi ungekuta nipo jela miaka kadhaa maana ningemtoa roho mtuniache ujinga kwasababu nimetaja yanga? na kwa huyo boko, kwani Juma nyoso hakumpiga kidole hadharani na yeye hakurusha hata kofi tu....mwanaume gani anaweza kuwa hivyo? ningekuwa mimi ndo kocha ningemweka benchi kuanzia siku ileile.
Wapi updates Mkuu?Yanga jiandaeni kukata rufaa,acheni umbea