Big Match: Simba 0 - 1 Azam, Lamba lamba waondoka na mkia wa mnyama

Big Match: Simba 0 - 1 Azam, Lamba lamba waondoka na mkia wa mnyama

[emoji444] Zamu ya lambalamba
Msijali Yanga mabingwa kesho itakuwa kwetu [emoji39] [emoji444]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii suluu kesho tunashinda so tunakuwa sawa point ila sisi tutaongoza tunamagoli mengi yakufunga
 
nikiangaliaga azam sports huwa namshangaa tu Boko, kitendo cha kupigwa kidole mbele za watu na yeye akanyamaza tu hajarusha hata ngumi. hivi mwanadamu akifanya kitendo kama icho kwa mtu kama mimi, mbona siku hiyohiyo ataenda ICU? afu kuna mwaka wachezaji wa timu fulani hivi walikuwa wanasemekana kurushwa ukuta ili wapate namba, kama sio yanga walikuwa simba miaka ile ya nyuma.
Acha ujinga mkuu
 
Kipindi cha pili ili Simba ipate bao wamtoe Ndemla, luzio na pastori waingie kichuya, kotei na mavugo
 
Acha ujinga mkuu
niache ujinga kwasababu nimetaja yanga? na kwa huyo boko, kwani Juma nyoso hakumpiga kidole hadharani na yeye hakurusha hata kofi tu....mwanaume gani anaweza kuwa hivyo? ningekuwa mimi ndo kocha ningemweka benchi kuanzia siku ileile.
 
Mimi ungekuta nipo jela miaka kadhaa maana ningemtoa roho mtu
 
WAAAAYAAAAAAAAAAAAAAA.................... BOCOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Back
Top Bottom