Big result kilosa,ni poor result

kajaga88

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2013
Posts
228
Reaction score
31
habari wana jamvi.mimi ni mwalim wa sekondari wilaya kilosa.nina miaka minne kazini,na wenzangu wote tulioanza kazi mwaka mmoja,hatujapanda madaraja,na hakuna dalili yoyote ya kupandishwa madaraja.halmashauri zote wamepandishwa,isipokuwa kilosa.kwanini kilosa tu? azimio letu ni kwamba,hatuna mpango wa kusaidia wanafunzi,kwani hatuwez kufanya kaz katika mazngira kama haya.mkurugenz yupo,katibu tsd yupo na hafai kwa utendaj wake.serikali wanataka big result,na walim ndio wanatakiwa wasaidie,then,unawaumiza.this is shame to our gvt and our presdent.tegemeen matokeo mabaya zaid kilosa.kama hamuamin,stay quite
 
uzembe ni wa DED na katibu TSD km ulivyoeleza,sasa kwanini mnataka kuwafelisha watoto wa masikini wenzenu???

Au hao watoto mnaopanga kuwafelisha ndio wanaopaswa kuwapandisheni madaraja???
 
Good mwalimu wanataka wawezeshwe afu mwezeshaji kafumbiwa macho hiyo big result waitegemee in a negative way
 
uzembe ni wa DED na katibu TSD km ulivyoeleza,sasa kwanini mnataka kuwafelisha watoto wa masikini wenzenu???

Au hao watoto mnaopanga kuwafelisha ndio wanaopaswa kuwapandisheni madaraja???

cku zote,wapiganapo mafahari,ziumiazo n nyika.kama hawayataki haya,let them do their work.hatuwez
 
na ukiangalia mazngira ya kilosa,nauli zinafika had sh25000,one way,toka k2o cha kaz had halmashauri,then wanasema tufuatilie.wao kazi zao n nin? ina mana hawana kaz maofcn
 
big result now bila big salary now = big zero now.
 
big result now bila big salary now = big zero now.

big zero hiyo pia itamuathiri mdogo ako na mwanao(km sio mgumba),na hao wanaopaswa kuwapeni mishahara minono wala hawatoathirika na huo mpango wenu wa kuwafelisha watoto wa masikini wenzenu!!
 
big zero hiyo pia itamuathiri mdogo ako na mwanao(km sio mgumba),na hao wanaopaswa kuwapeni mishahara minono wala hawatoathirika na huo mpango wenu wa kuwafelisha watoto wa masikini wenzenu!!

kwann waweke mipango bila malengo? na kaz yao nikuwasaidia hao hao watoto.saiz hakuna uzalendo,so whatever will hapen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…