habari wana jamvi.mimi ni mwalim wa sekondari wilaya kilosa.nina miaka minne kazini,na wenzangu wote tulioanza kazi mwaka mmoja,hatujapanda madaraja,na hakuna dalili yoyote ya kupandishwa madaraja.halmashauri zote wamepandishwa,isipokuwa kilosa.kwanini kilosa tu? azimio letu ni kwamba,hatuna mpango wa kusaidia wanafunzi,kwani hatuwez kufanya kaz katika mazngira kama haya.mkurugenz yupo,katibu tsd yupo na hafai kwa utendaj wake.serikali wanataka big result,na walim ndio wanatakiwa wasaidie,then,unawaumiza.this is shame to our gvt and our presdent.tegemeen matokeo mabaya zaid kilosa.kama hamuamin,stay quite