Katika mitihani inayoeendelea ya kidato cha nne walimu wa kutoka wilaya ya muleba wanaendelea kusimamia mtihani huo kwa manung'uniko ya hali ya juu kwani mpaka sasa hawajalipwa stahiki zao za kusimamia mtihani huo kama inavyotakiwa.
Inawezekena kabisa kuna mkono wa mtu katika hili. Lakini inakuwaje watoto walipie huo mtihani alafu wasimamizi wanashindwa kulipwa stahili zao kama ilivyokubaliwa awali?
WIto usije wakati wa kuiba haki zao. Mimi nahisi unakuwa wito pale anayeutukimikia anapokuwa hana malalamiko kwa mfano walivyo wachungaji na mapadre wanakula na kulala vizuri then wito unakuja