Big results now; yaanza vibaya wilaya ya muleba

Big results now; yaanza vibaya wilaya ya muleba

Ikengya

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
614
Reaction score
178
Katika mitihani inayoeendelea ya kidato cha nne walimu wa kutoka wilaya ya muleba wanaendelea kusimamia mtihani huo kwa manung'uniko ya hali ya juu kwani mpaka sasa hawajalipwa stahiki zao za kusimamia mtihani huo kama inavyotakiwa.
 
Chezea program za Zimamoto!!

Mimi nadhani kuna mahala tulienda kuomba hela a.k.a kutembeza bakuli, na mzungu akatoa hiyo makitu kama sharti la kuachia hela.
 
Inawezekena kabisa kuna mkono wa mtu katika hili. Lakini inakuwaje watoto walipie huo mtihani alafu wasimamizi wanashindwa kulipwa stahili zao kama ilivyokubaliwa awali?
Chezea program za Zimamoto!!

Mimi nadhani kuna mahala tulienda kuomba hela a.k.a kutembeza bakuli, na mzungu akatoa hiyo makitu kama sharti la kuachia hela.
 
ualimu ni kazi ya wito jamani,vumilieni.
 
ualimu ni kazi ya wito jamani,vumilieni.
WIto usije wakati wa kuiba haki zao. Mimi nahisi unakuwa wito pale anayeutukimikia anapokuwa hana malalamiko kwa mfano walivyo wachungaji na mapadre wanakula na kulala vizuri then wito unakuja
 
Back
Top Bottom