Big results now

Big results now

BABU KIZEE

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2013
Posts
452
Reaction score
72
Hivi wakuu kuna kauli moja imetolewa kwa walimu kuhusu big results walimu wanatakiwa kufahulisha wanafunzi katika kiwango cha asilimia 60 % kwa fomu 2 na four 4 kutokana na kupandishiwa mshahara mnaonaje suala hili walimu uwanja wenu tililikeni .
 
mimi nimeongezewa 17% ya basic salary yangu ambayo ni kiasi kidogo sana, nawambieni tegemeeni matokeo mabaya sana, hizo ni dharau kubwa sana kwa walimu, hela wanabana kwa ajiri ya uchaguzi 2015, nawaambieni tutaonana mmemwaga mboga basi na sisi tunamwaga ugali.
 
hilo haliwezekani,hata kama mwalim angelipwa 100%,mshahara.tatzo c mshahara kama weng wanavyodai.mimi n mwalim,japo cridhki na mshahara,lakn nafanya kaz,kwa sabab mimi n maskini,and i hav no any choice.tatizo,ni msingi wa watA
 
hilo haliwezekani,hata kama mwalim angelipwa 100%,mshahara.tatzo c mshahara kama weng wanavyodai.mimi n mwalim,japo cridhki na mshahara,lakn nafanya kaz,kwa sabab mimi n maskini,and i hav no any choice.tatizo,ni msingi wa watoto,mtoto atafauluje wakat katoka primary na wastan wa 60,of 250? hata yesu arudi.2nasoma bila kufuata filosoph ya elim.hebu 2rejee kwa kina plato.hao waache tu wakakue,na wajua kusoma na kuandka,na c kufaulu
 
tatizo la nchi yetu ni kuwa viongozi wanataka nchi iende kwa kauli badala ya mipango...
 
Kwa malengo ya hao viongozi, je kiwango cha ufaulu kitaongezeka kwa kuongeza kiasi kidogo cha mshahara tu? Hii ni dalili ya kuwwaza kupitia masada mafupi.
 
Nd'o shida ya policy makers wetu, wana-encourage walimu wafundishe mitihani badala ya ku-inculcate knowledge. Usikute tz hakuna mtaala ulioandikwa..!!
 
​hakuna anayependa kufanya kazi kwa hiyari bila unyapara, kungekuwa na unyapara wa kutosha hata bure walimu wangefaulisha...kitu unyapara
 
mimi nimeongezewa 17% ya basic salary yangu ambayo ni kiasi kidogo sana, nawambieni tegemeeni matokeo mabaya sana, hizo ni dharau kubwa sana kwa walimu, hela wanabana kwa ajiri ya uchaguzi 2015, nawaambieni tutaonana mmemwaga mboga basi na sisi tunamwaga ugali.

mkuu uko mkoa gani..ambako washatoa mpunga/mshahara.. Eeebwana zee la weza
 
Last edited by a moderator:
mhu!!,elimu nako pameingiluwa na big result? Kilimo washa zoea na kilimo kwanza wakati Majembe tu yanatengenezwa china
 
hilo haliwezekani,hata kama mwalim angelipwa 100%,mshahara.tatzo c mshahara kama weng wanavyodai.mimi n mwalim,japo cridhki na mshahara,lakn nafanya kaz,kwa sabab mimi n maskini,and i hav no any choice.tatizo,ni msingi wa watA

Mkuu umeongea point, ni kweli waalimu wanahitaji kulipwa vizuri lakini matokeo hayawezi kubadilika kwa haraka hivyo.

Ninafanya Teaching Practice mahali fulani, kwa kweli ni majanga. Watoto wana msingi mbaya sana, watoto wamejengeka katika misingi ya kuchukia baadhi ya masomo (mf. Maths) na hawajitumi kabisa.

Mishahara ya waalimu haiwezi kujenga maabara na maktaba, sasa hawa wanafunzi watafaulu vipi? Serikali itafakari vizuri.
 
mimi nimeongezewa 17% ya basic salary yangu ambayo ni kiasi kidogo sana, nawambieni tegemeeni matokeo mabaya sana, hizo ni dharau kubwa sana kwa walimu, hela wanabana kwa ajiri ya uchaguzi 2015, nawaambieni tutaonana mmemwaga mboga basi na sisi tunamwaga ugali.

mbona umeongezewa % kubwa mkuu!!mm nimeongezewa 10% lkn me sio mwalim,so walim mmependelewa!!
 
mhu!!,elimu nako pameingiluwa na big result? Kilimo washa zoea na kilimo kwanza wakati Majembe tu yanatengenezwa china

mkuu,ishu ya big results now ipo kwenye nyanja za elimu,usafirishaji(miundombinu),mapato,maji ,kilimo na umeme!!
 
Hivi wakuu kuna kauli moja imetolewa kwa walimu kuhusu big results walimu wanatakiwa kufahulisha wanafunzi katika kiwango cha asilimia 60 % kwa fomu 2 na four 4 kutokana na kupandishiwa mshahara mnaonaje suala hili walimu uwanja wenu tililikeni .

fake tuition na majibu ndio sululisho tosha..
 
Dharau wanayoionesha serikali ya ccm sasa imetosha. They are now stepping on a dog, just wait for the outcome. Wapo walioongezwa 6% ya basic salary. Hiyo wanayosema big results now labda iwe kinyume chake. Huwezi kuwa na matokeo makubwa kwa aina ya wanafunzi walewale wenye below average, the same few resources, mazingira magumu ya kazi na sasa wameongeza hasira kwa walimu kwa kuwaongeza this god damed increment. Give us a break! We are not working on filthy slogans. Kwa kuwa serikali haisikii action speaks louder than words. Wananchi wenye watoto wao watawasamehe walimu kwa kitakachotokea.
 
Big result now! Without
Big Salary now! Is
Big Problem now
 
Hivi wakuu kuna kauli moja imetolewa kwa walimu kuhusu big results walimu wanatakiwa kufahulisha wanafunzi katika kiwango cha asilimia 60 % kwa fomu 2 na four 4 kutokana na kupandishiwa mshahara mnaonaje suala hili walimu uwanja wenu tililikeni .

Kwa nilivyoielewa mimi big results si kwa elimu tu ni mpango wa dhaifu kwa wizara 5 elimu, afya, kilimo, miundo mbimu na ya 5 nimeghafilika kuikumbuka. Kwamba kila wizara tajwa inatakiwa kupandisha malengo yake ya utendaji na kufikia ufanisi wa hali ya juu wa 60 percent kwa mwaka huu na kuendelea. Haiusiani na kuongezwa mshahara. Sbb mshahara kuongezeka ni kwa watumishi wote si walimu tu.

Sasa basi ufanisi katika elimu unaonekana katika ufaulu wa wanafunzi that is obvious, na kwa wizara nyinngine pia inategemea nini kinapima ufanisi huo kuonekana umekuwa kwa percent hiyo.

Turudi kwenye elimu...wameweka mikakati mingi sana sna kwenye hiyo kauli mbiu yao..walichokosea hawakuwashirikisha wadau wa 3 muhimu sana katika malengo yao hayo mzazi, mwalimu na mwanafunzi kwa mapana yake na marefu yake.

Pili mazingira ya kuifanya hiyo big results ni yale yale. Mishahara duni kwa walimu, mazingira magumu ya kufundishia na yakusomea, vikwazo vya kisiasa katika taaluma hasa kwa hawa madiwani na watendaji kata, gap kubwa ya kielimu kati ya watoto wa viongozi, walionacho na wasio nacho. kutokuwa na usawa katika kutahini watoto...i mean wale waliofundishwa katika mazingira mazuri sna na kuwa na walimu wa masomo yoote na facilities zote wanatahiniwa sawa na wale walio katika mazingira dunii ya kusomea bila walimu wala vitendea kazi.

Na madhaifu mengine meengi one can help kuyaorodhesha

Walikuw na malengo mazuri but wamechelewa sana and they DID NOT THINK BIG at ALL.
 
Back
Top Bottom