BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Hivi wakuu kuna kauli moja imetolewa kwa walimu kuhusu big results walimu wanatakiwa kufahulisha wanafunzi katika kiwango cha asilimia 60 % kwa fomu 2 na four 4 kutokana na kupandishiwa mshahara mnaonaje suala hili walimu uwanja wenu tililikeni .

mimi nimeongezewa 17% ya basic salary yangu ambayo ni kiasi kidogo sana, nawambieni tegemeeni matokeo mabaya sana, hizo ni dharau kubwa sana kwa walimu, hela wanabana kwa ajiri ya uchaguzi 2015, nawaambieni tutaonana mmemwaga mboga basi na sisi tunamwaga ugali.
mkuu uko mkoa gani..ambako washatoa mpunga/mshahara.. Eeebwana zee la weza
hilo haliwezekani,hata kama mwalim angelipwa 100%,mshahara.tatzo c mshahara kama weng wanavyodai.mimi n mwalim,japo cridhki na mshahara,lakn nafanya kaz,kwa sabab mimi n maskini,and i hav no any choice.tatizo,ni msingi wa watA
mimi nimeongezewa 17% ya basic salary yangu ambayo ni kiasi kidogo sana, nawambieni tegemeeni matokeo mabaya sana, hizo ni dharau kubwa sana kwa walimu, hela wanabana kwa ajiri ya uchaguzi 2015, nawaambieni tutaonana mmemwaga mboga basi na sisi tunamwaga ugali.
mhu!!,elimu nako pameingiluwa na big result? Kilimo washa zoea na kilimo kwanza wakati Majembe tu yanatengenezwa china
Haaaaa, kazi ipo ila ndo nchi yetu tuipende tu,mkuu,ishu ya big results now ipo kwenye nyanja za elimu,usafirishaji(miundombinu),mapato,maji ,kilimo na umeme!!