Big shame to those who made Magufuli believe he was immortal

Pole mjane,bdo mpo wengi sana
 
Imemalizwa na nanii. Kama ingeisha kwanini ufipani mumekwepa kupeleka mgombea wenu kwenye chaguzi zile za ubunge wa majimbo mawili? Mngejalibu mkajionea kwamba nikweli legacy ya jpm imeisha au ipooo. Tukutane 2025.
Kwanza mm sio mtu wa ufipa mzee, mi hua napinga kwa hoja iwe CCM au upinzani, so utawala uliopo utaweka mikakati yake yale ya kuendeleza yataendelezwa. Ambayo hayakua na mantiki yataachwa.
 
W
Kwanza mm sio mtu wa ufipa mzee, mi hua napinga kwa hoja iwe CCM au upinzani, so utawala uliopo utaweka mikakati yake yale ya kuendeleza yataendelezwa. Ambayo hayakua na mantiki yataachwa.
We mwanaufipa wewe, kesho kutwa kanjanja wenu ameamlisha mvae sare za kikundi chenuuu. Sawaaa? Unaukana ufipa Leo ??
 
Huyu Mtutsi amejaa kisasi kama ilivyo asili yake,hana la maana alilobakiza kwa sasa zaidi ya kutoa nyongo yake kwa Mwendazake,hapo alipo anatamani hata angeenda Chato kaburini akaanza kumsimanga Marehemu.

Aibu gani hii kwa mtu mzima tena wa Caliber ya Ulimwengu,yeye anamsimanga JPM na hapo hapo akijiona kama yeye hatokufa,maana angekuwa na hofu na kifo asingekuwa anabwatuka hivi kila siku.Shame on you Ulimwengu.
 
W

We mwanaufipa wewe, kesho kutwa kanjanja wenu ameamlisha mvae sare za kikundi chenuuu. Sawaaa? Unaukana ufipa Leo ??
Tafuta content zangu humu kama utaona unachodai, halaf kua cjui ufipa sio dhambi, ni bora ufipa maan nikiwaangalia wengi humu wanaojitambua na hoja za msingi ni haohao unaowabeza
 
Big shame to yourself!
 
U aonekana una vinasaba vya mwendazake, hutaki watu wawe huru kuelezea fikra zao. JPM asisemwe kwann? Mpk leo madikteta Hitler na Idd Amini wanasemwa. Kwann dikteta JPM asisemwe?
Una umri gani kijana! Na muanze ufisadi wenu watanzania wa leo sio wa sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…