Big shame to those who made Magufuli believe he was immortal

Big shame to those who made Magufuli believe he was immortal

Màgufool alikuwa baba wa ushirikina na ulozi akishirikiana na mama yake mwiizi wa nyota za watu
duuuuh,ama kweli naamini magufuli kabaka watoto wengi sana.mpaka wewe mkuu!!!!
 
JENERALI kinachomkera ni namna watu walivyomiminika kumlilia JPM, alitegemea watu wasimzike vizuri shujaa wao.

Eti JPM alijiona IMMORTAL yaani mwenye kuweza kuishi milele, matusi mabaya hayo JENERALI. Ungemtendea haki JPM ungetafuta hata hotuba zake uka'quote' kama kweli alijimwamba kiasi hicho. JPM kwa taarifa yako alitamka mara nyingi mno kwamba maisha ni 'temporal' yanapita na ndo maana alijitahidi kutumia kila dakika ya maisha yake kuleta mabadiliko.

Hata hivyo kiuhalisia JPM wa macho ya rohoni ni 'IMMORTAL'. Mawazo yake bado yanaishi, kazi zake nzuri bado zinatunufaisha na misimamo yake bado inalitegemeza taifa hili.

JPM hajaishi kizembe na wala hajafa kizembe. Amekufa akiwa kazini, wewe ndugu yangu JENERALI ni LOOSER ndo maana G55 iliishia hivyo hivyo, huna legacy. Hata kumwandika JPM ili usomwe ni kwasababu ana jambo bado, he is BIG MAN. Kumbe hata akilini mwako hajafa na huenda unaogopa what if he comes back.

Tahadhari, unapoandika baya juu ya JPM kuwa na ubinadamu maana unawatia huzuni mke n.k.
Pole sana!!Jenerali kaandika kiingereza wewe umemjibu Kiswahili.Tuyaache hayo lakini Jenerali ni mojawapo ambaye bila kupepesa macho alionyesha wazi kuhitilafiana na JPM.Rejea mchango katika Kigoda cha Mwalimu tena mbele ya Mkapa!!
JPM amefanya makubwa lakini kuzuia watu wasizungumzie mabaya ya yake ni kumuondoa katika ubinadamu na kumpandisha katika UUngu kwa kisa cha kuwa tu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Ki ukweli ni kuwa yeye ni Marehemu kama walivyo marehemu wengine na mambo yake katika dunia yameisha!!
 
Jpm tutamshambulia kila uchwao atakumbukwa kwa ukandamizaji wa demokrasia mauaji ya wakosoaji wake damu ya ben sanane damu ya tundu kagunye na list ndefu hawez kupumzika kirahis hvyo
nyie mbwa sio wa kuwaamini sana,hamkawii kumtumia majukwaani 2025.
 
Unaongelea upigaji kwani kuna Rais amewahi kutokea akaiba kumzidi Magufuli? Tsh 2.4 Trilion kwa miaka 3
huu ujinga hata mtoto wako hawezi uhifadhi,ni wewe baba yake ndio bado umekomaa nao.
 
Did Magufuli really believe he was immortal?
blaza acha tu.

kwa sasa inaonesha hata wale kwerea kwerea wanahisi kupungukiwa maana hakuna mtu wa kumwongerea wasikike,ni kumfata mpaka huko kaburini.

jpm huyu huyu aliyekuwa akirudia maneno "mniombee"!!!maisha bila unafiki hajasogei mkuu.
 
Dikteta marehemu lazima ashambuliwe kila uchao, aliwasibu watu wengi kwa utawala wake wa mkono wa Chuma,

Alitoa amri lissu auliwe na mwili wake usiagwe ukazikwe haraka kijijini kwao ,
I was to ask a question but I realized the question would be directed to a person sounded imbecile.
 
View attachment 1813134
Whatever the sangomas in our midst would have us believe, I think that there was a lot of infection around John Magufuli’s work environment, in which wearing a face mask was not tolerated and crowding was a way of life. PHOTO | FILE | NMG

By JENERALI ULIMWENGU
THURSDAY JUNE 03 2021

The politicians around Westminster have been at each other’s throats over the devastating effects of Covid-19 in terms of loss of life and economic backsliding.

The Boris Johnson government is catching flak for not having done enough, having taken its sweet time doing it and/or having bungled the measures needed to confront the pandemic.

That is as it should be. The representatives of the British people have the right to put their government on the spot if they think the latter have neglected their duty of service, and they have the right to demand that heads roll and butts be kicked. When you look at what has been happening in India you understand where I’m coming from.

Impossibly blind​

Accusations of dereliction of duty must include being obstinate when a situation is clear enough for all to see except the impossibly blind. I have been telling my friends in the medical profession that they let us down badly since a year ago when they seemed to acquiesce in the mad fallacy that wanted us to believe that our prayers had made God listen to us rather than to the Pope.

The unbelievable defence of the medics is that then-president John Pombe Magufuli (JPM) would have done ‘‘bad things’’ to anyone who had dared contradict him.

This is a very sorry state for a nation to be in, and I think anyone who helped us get to that point is criminally liable on account for the scores of people who died.

Now that obscurantism has been shunted off to the sidewalk through President Samia Suluhu’s government saying that there is indeed a Covid-19 problem, the next step is for the vaccines to arrive. The government has stated that vaccines will be procured for people to be inoculated ‘‘if they so desire.’’

I know that in most countries where vaccines are given the exercise is voluntary, so there should no fear that people will be forced to be vaccinated.

Democratic right​

However, what needs to be done in case the response is so low that too many people remain vulnerable to contract the virus?

Would that not render the fight against the virus unwinnable? I incline to think that this is an existential issue that must be treated as such. It is as if canine rabies were spread through droplets in the air and some people refused to take anti-rabies inoculation.

In that case would it not be mandatory for everyone to be inoculated? Would the democratic right to not be vaccinated negate the right of the others to not be infected?

Whatever the sangomas in our midst would have us believe, I think that there was a lot of infection around Magufuli’s work environment, in which wearing a face mask was not tolerated and crowding was a way of life.

It was as if someone was trying to display supernatural powers given only to themselves. My trepidation flows from my realisation that I am only mortal and accept my shortcomings.

If a Maasai warrior brandishing a simi charges at a lion that has attacked his boma, I will recognise a hero. But if he says he is going out to do battle with some virus, I will confirm his madness. For, the lion is known for its powerful claws and canines, and the Maasai is reputed to be fearless and nimble. But what do we know of the virus and the silly little man playing hide-and-seek with it?

The lesson we draw from this episode is that we never seem to be able to draw lessons from anything we are afflicted with or by. This is so because we never take time off to do stock-taking of what we have been through, to apportion blame and to mark out what we should never do again. As a result, we are condemned to repeat the same mistakes over and over again, like perennial infants.

Worthy people​

The medical experts I was blaming are worthy people who struggle day and night to save lives and advance the frontiers of the search for wellness.

But, they can attain neither if they are too scared they will lose their employment to tell their superiors they see death when death is indeed what they see.

We quite often talk of speaking truth to power without knowing exactly what the expression means in real terms. It means it can be disadvantageous for you to tell the powerful what they do not want to hear, but tell them nevertheless.

They can harm you, sack you, or worse. Galileo could have been sent to the gallows by the Vatican, but he stood his ground.

Now, we are beginning to hear people talk as if they are emerging from a five-year-long stupor; they are now criticising Magufuli as if they had been too blind to see what the others were seeing all the while.

Then they remained silent when they should have spoken or, worse, singing praises of the man they soon made to think he was immortal.

Shame!

Jenerali Ulimwengu is now on YouTube via jeneralionline tv. E-mail: jenerali@gmail.com

Source:
The East African
As usual his infatuation with JPM is naked for all out there to see. JPM never believed he was immortal as religious as he was. Jenerali can't just get enough of his concocted self convictions to satisfy his troubling wounded ego..he gotta let it go..and heal his soul.
 
JPM alikuwa na matatizo ya moyo ya muda mrefu na alikuwa tayari kwa lolote lile.

Mzee Ulimwengu anajulikana kwa siasa zake za kuushambulia uongozi unaokuwa ikulu.

Kama busara zimejaa kichwani kwake angeachana na hizi mada za kumshambulia aliyekwisha maliza muda wake duniani.
Ndio inavyokuwaga hivyo kwamba watu wasiuseme ukweli wa mtu aliyetangulia mbele ya haki?
 
JENERALI kinachomkera ni namna watu walivyomiminika kumlilia JPM, alitegemea watu wasimzike vizuri shujaa wao.

Eti JPM alijiona IMMORTAL yaani mwenye kuweza kuishi milele, matusi mabaya hayo JENERALI. Ungemtendea haki JPM ungetafuta hata hotuba zake uka'quote' kama kweli alijimwamba kiasi hicho. JPM kwa taarifa yako alitamka mara nyingi mno kwamba maisha ni 'temporal' yanapita na ndo maana alijitahidi kutumia kila dakika ya maisha yake kuleta mabadiliko.

Hata hivyo kiuhalisia JPM wa macho ya rohoni ni 'IMMORTAL'. Mawazo yake bado yanaishi, kazi zake nzuri bado zinatunufaisha na misimamo yake bado inalitegemeza taifa hili.

JPM hajaishi kizembe na wala hajafa kizembe. Amekufa akiwa kazini, wewe ndugu yangu JENERALI ni LOOSER ndo maana G55 iliishia hivyo hivyo, huna legacy. Hata kumwandika JPM ili usomwe ni kwasababu ana jambo bado, he is BIG MAN. Kumbe hata akilini mwako hajafa na huenda unaogopa what if he comes back.

Tahadhari, unapoandika baya juu ya JPM kuwa na ubinadamu maana unawatia huzuni mke n.k.

Kiongozi yoyote dhalimu anapaswa kupewa ukweli wake bila kujali wanaojinasibu naye ni akina nani.
 
JPM alikuwa na matatizo ya moyo ya muda mrefu na alikuwa tayari kwa lolote lile.

Mzee Ulimwengu anajulikana kwa siasa zake za kuushambulia uongozi unaokuwa ikulu.

Kama busara zimejaa kichwani kwake angeachana na hizi mada za kumshambulia aliyekwisha maliza muda wake duniani.
What are you trying to say?

Is it ok to be ruthless and care less just because you aint got nothing to loose?????😳
 
What are you trying to say?

It is ok to be ruthless and care less just because you aint got nothing to loose?????
Mbwembwe nyingiii za kingereza ujumbe umeeleweka vyema.

Hao wanaochukuliwa kama ndio wasio na dhambi ndio wachafu wenyewe.

Tumeongozwa na marais wanne kabla ya JPM ina maana na wao wanne ni wasafi sana?...acheni kuwa wanafiki!!.
 
JPM alikuwa na matatizo ya moyo ya muda mrefu na alikuwa tayari kwa lolote lile.

Mzee Ulimwengu anajulikana kwa siasa zake za kuushambulia uongozi unaokuwa ikulu.

Kama busara zimejaa kichwani kwake angeachana na hizi mada za kumshambulia aliyekwisha maliza muda wake duniani.
Mzee Jenelali nae ni kumbafu
 
Mbwembwe nyingiii za kingereza ujumbe umeeleweka vyema.

Hao wanaochukuliwa kama ndio wasio na dhambi ndio wachafu wenyewe.

Tumeongozwa na marais wanne kabla ya JPM ina maana na wao wanne ni wasafi sana?...acheni kuwa wanafiki!!.

Huyo kaamua kuweka uchafu wa JPM, ww weka huo uchafu wa hao viongozi wengine.
 
Thanks Kiranga. When you are curt member you do not see even the obvious. Tatizo sana.
Nimeambiwa kuna tatizo watu wanataka kujadili article ya Kiingereza bila kujua kusoma Kiingereza.
 
As usual his infatuation with JPM is naked for all out there to see. JPM never believed he was immortal as religious as he was. Jenerali can't just get enough of his concocted self convictions to satisfy his troubling wounded ego..he gotta let it go..and heal his soul.
JPM never believed he was immortal as religious as he was.

You guys are not serious! Was Magufuli religious?

....mtawajua kwa matendo yao. Matendo ya Magufuli yalikuwa yanadhihirisha pasipo shaka kwamba hakuwa mshika dini. Alipenda tu kujinasibisha na dini na kumtajataja Mungu ili afanikishe kupata aliyohitaji.
 
Macho na masikio yako juu ya yule mtu hakika ni kama Mimi.
 
Back
Top Bottom