..yeye ndio alikuwa mkuu wa system.Ulinzi alijiwekea yeye au system ndio inauweka?
Bavicha inakuwaje hata jambo dogo hili unashindwa kuelewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..yeye ndio alikuwa mkuu wa system.Ulinzi alijiwekea yeye au system ndio inauweka?
Bavicha inakuwaje hata jambo dogo hili unashindwa kuelewa?
Kamwe hatuwezi kuacha kushambulia aliyekwishakufa. Inabidi tupaze sauti sana ili isije ikatokea tena katika nchi yetu akaingia kidudu mtu mwingine mwenye roho ya IBILISI kama Mwendazake. Tutadhibiti haya kwa katiba Mpya ya wananchi itakayovipa nguvu vyombo vyetu kama TISS, Mahakama na BUnge na Tume Huru ya Uchaguzi.JPM alikuwa na matatizo ya moyo ya muda mrefu na alikuwa tayari kwa lolote lile.
Mzee Ulimwengu anajulikana kwa siasa zake za kuushambulia uongozi unaokuwa ikulu.
Kama busara zimejaa kichwani kwake angeachana na hizi mada za kumshambulia aliyekwisha maliza muda wake duniani.
Ni mjinga pekee ndo anaweza kuamini magufuli amekufa kwa Corona!!
But tujipe muda!!......
Muda husema yote
HIlo la kuwa mrundi ni ubaguzi wa watu wa Chadema na wanaharakati wengine.Kamwe hatuwezi kuacha kushambulia aliyekwishakufa. Inabidi tupaze sauti sana ili isije ikatokea tena katika nchi yetu akaingia kidudu mtu mwingine mwenye roho ya IBILISI kama Mwendazake. Tutadhibiti haya kwa katiba Mpya ya wananchi itakayovipa nguvu vyombo vyetu kama TISS, Mahakama na BUnge na Tume Huru ya Uchaguzi.
Laiti TISS ingekamilisha kazi yake vizuri naamini Magufuli asinge katiza kuwa mgombea Urais wa 2015. Wewe mwenyewe umesema alikuwa mgonjwa. Halafu asili yake ni Burundi kwa kuzaliwa ila mama yake aliolewa na msukuma. TISS walipaswa wayajue haya na kutoa jina lake
Sio kila anachosema mzungu basi tukinyenyekee kama hatuna akili zetu wenyewe.A big NO to you. Ulimwengu is right. We refer to history in modelling a better future. JPM's covid-19 mismanagement philosophy is a historical benchmark to refer in the bid to combat the pandemic.
👍 👍Kama mtu akifa Basi asisemwe kwa uovu wake, kwanini tunafundishwa na Bible juu ya uovu na usaliti wa Yuda Eskarioti?
Kwanini Biblia imeandika kisa Cha ulaghai Cha Anania na Safira?
Kwanini imeandika mambo mabaya aliyoyafanya Daudi? Si ingeandika mazuri tu?
Nakupa assignment kasome Ufunuo 14: 13 unaweza hata kui Google
Tumsamehe tu huyu ndugu yetu nadhani lugha haikua rafiki sana kwakeUlimwengu anaongelea watu walionyamaza na kushindwa kukemea ujinga wa utawala wa Magufuli zaidi ya kumlaumu Magufuli.
Analaumu hata madaktari waliojua ukweli waliogopa kusema kweli kwa kusingizia wanaogopa Magufuli atawapatiliza.
Hivyo, article hii inahusu waliobaki zaidi ya Magufuli.
Unamjua Ulimwengu?Mbona wewe hukusema haya kipindi hicho??big shame to you
Baba wa watu si alishakufa jamani.?? Muacheni apumzike.
JPM amesababisha vifo vingi sana kwa sera zake mbovu, mfano bomoabomoa hata pale mahakama imekataa. JPM alijiona yuko juu ya Katiba, kwa kuivunja mara nyingi. Mfano, kuvifungia vyama vya siasa vya upinzani kufanya kazi zake halali.JENERALI kinachomkera ni namna watu walivyomiminika kumlilia JPM, alitegemea watu wasimzike vizuri shujaa wao.
Eti JPM alijiona IMMORTAL yaani mwenye kuweza kuishi milele, matusi mabaya hayo JENERALI. Ungemtendea haki JPM ungetafuta hata hotuba zake uka'quote' kama kweli alijimwamba kiasi hicho. JPM kwa taarifa yako alitamka mara nyingi mno kwamba maisha ni 'temporal' yanapita na ndo maana alijitahidi kutumia kila dakika ya maisha yake kuleta mabadiliko.
Hata hivyo kiuhalisia JPM wa macho ya rohoni ni 'IMMORTAL'. Mawazo yake bado yanaishi, kazi zake nzuri bado zinatunufaisha na misimamo yake bado inalitegemeza taifa hili.
JPM hajaishi kizembe na wala hajafa kizembe. Amekufa akiwa kazini, wewe ndugu yangu JENERALI ni LOOSER ndo maana G55 iliishia hivyo hivyo, huna legacy. Hata kumwandika JPM ili usomwe ni kwasababu ana jambo bado, he is BIG MAN. Kumbe hata akilini mwako hajafa na huenda unaogopa what if he comes back.
Tahadhari, unapoandika baya juu ya JPM kuwa na ubinadamu maana unawatia huzuni mke n.k.
Jpm tutamshambulia kila uchwao atakumbukwa kwa ukandamizaji wa demokrasia mauaji ya wakosoaji wake damu ya ben sanane damu ya tundu kagunye na list ndefu hawez kupumzika kirahis hvyoDikteta marehemu lazima ashambuliwe kila uchao, aliwasibu watu wengi kwa utawala wake wa mkono wa Chuma,
Alitoa amri lissu auliwe na mwili wake usiagwe ukazikwe haraka kijijini kwao ,
Kajifunze kwanza kuandikaTake those words to any Christian, from mlokole to the Pope, akisema ni uongo ujuebhuyo si Mkristu. Hii ya kuogopa ajira eti Rais atachukia, are you saying Dr. Karugendo wa Muleba Hospital naye aliogopa kumtibu mgonjwa wake corona huko Nzega kwa kumwogopa Magufuli wa St Peter's ya Dar es Salaam?
OK OK OK so he was wrong. Wamekufa wangapi? Tuliambiwa na WHO na Bill Gates kuwa maiti za Waafrika zitatapakaa mitaani. Wakati wa uchaguzi at the height of corona , tundulissu alitembea nchi nzima mdomo wcazi akihutubia millions of millions of people (in hus words) wote midomo wazi. Kulikywa na Yanga na Simba na Mwadui na Azam FC midomo wazi jukwcaaczilihaa mdomo wazi, TUMEKUFA WANGAPI?
Chanjo ni biashara AT LEAST ay ni mtego kuuwa Waafrika AT WORST. I for one will not begin, WAANZE wao kwao kwanza tuone.
View attachment 1813134
Whatever the sangomas in our midst would have us believe, I think that there was a lot of infection around John Magufuli’s work environment, in which wearing a face mask was not tolerated and crowding was a way of life. PHOTO | FILE | NMG
By JENERALI ULIMWENGU
THURSDAY JUNE 03 2021
The politicians around Westminster have been at each other’s throats over the devastating effects of Covid-19 in terms of loss of life and economic backsliding.
The Boris Johnson government is catching flak for not having done enough, having taken its sweet time doing it and/or having bungled the measures needed to confront the pandemic.
That is as it should be. The representatives of the British people have the right to put their government on the spot if they think the latter have neglected their duty of service, and they have the right to demand that heads roll and butts be kicked. When you look at what has been happening in India you understand where I’m coming from.
Impossibly blind
Accusations of dereliction of duty must include being obstinate when a situation is clear enough for all to see except the impossibly blind. I have been telling my friends in the medical profession that they let us down badly since a year ago when they seemed to acquiesce in the mad fallacy that wanted us to believe that our prayers had made God listen to us rather than to the Pope.
The unbelievable defence of the medics is that then-president John Pombe Magufuli (JPM) would have done ‘‘bad things’’ to anyone who had dared contradict him.
This is a very sorry state for a nation to be in, and I think anyone who helped us get to that point is criminally liable on account for the scores of people who died.
Now that obscurantism has been shunted off to the sidewalk through President Samia Suluhu’s government saying that there is indeed a Covid-19 problem, the next step is for the vaccines to arrive. The government has stated that vaccines will be procured for people to be inoculated ‘‘if they so desire.’’
I know that in most countries where vaccines are given the exercise is voluntary, so there should no fear that people will be forced to be vaccinated.
Democratic right
However, what needs to be done in case the response is so low that too many people remain vulnerable to contract the virus?
Would that not render the fight against the virus unwinnable? I incline to think that this is an existential issue that must be treated as such. It is as if canine rabies were spread through droplets in the air and some people refused to take anti-rabies inoculation.
In that case would it not be mandatory for everyone to be inoculated? Would the democratic right to not be vaccinated negate the right of the others to not be infected?
Whatever the sangomas in our midst would have us believe, I think that there was a lot of infection around Magufuli’s work environment, in which wearing a face mask was not tolerated and crowding was a way of life.
It was as if someone was trying to display supernatural powers given only to themselves. My trepidation flows from my realisation that I am only mortal and accept my shortcomings.
If a Maasai warrior brandishing a simi charges at a lion that has attacked his boma, I will recognise a hero. But if he says he is going out to do battle with some virus, I will confirm his madness. For, the lion is known for its powerful claws and canines, and the Maasai is reputed to be fearless and nimble. But what do we know of the virus and the silly little man playing hide-and-seek with it?
The lesson we draw from this episode is that we never seem to be able to draw lessons from anything we are afflicted with or by. This is so because we never take time off to do stock-taking of what we have been through, to apportion blame and to mark out what we should never do again. As a result, we are condemned to repeat the same mistakes over and over again, like perennial infants.
Worthy people
The medical experts I was blaming are worthy people who struggle day and night to save lives and advance the frontiers of the search for wellness.
But, they can attain neither if they are too scared they will lose their employment to tell their superiors they see death when death is indeed what they see.
We quite often talk of speaking truth to power without knowing exactly what the expression means in real terms. It means it can be disadvantageous for you to tell the powerful what they do not want to hear, but tell them nevertheless.
They can harm you, sack you, or worse. Galileo could have been sent to the gallows by the Vatican, but he stood his ground.
Now, we are beginning to hear people talk as if they are emerging from a five-year-long stupor; they are now criticising Magufuli as if they had been too blind to see what the others were seeing all the while.
Then they remained silent when they should have spoken or, worse, singing praises of the man they soon made to think he was immortal.
Shame!
Jenerali Ulimwengu is now on YouTube via jeneralionline tv. E-mail: jenerali@gmail.com
Source: The East African