Mkuu huyu Jenerali Ulimwengu ni masalia ya kizazi cha Burundi kilichokuwa kinaleta fujo mara kwa mara kwa Serikali. Serikali ya Michombero ikaamua kuwavurumusha na wakakimbilia Kagera, yeye Ulimwengu akiwa mdogo. Sasa, ile damu ya roho mbaya, ukatili na fujo fujo waliyokuwa nayo wazazi wake nae anayo na ndio inamsumbua.
Bahati nzuri, Serikali ya Tanzania inamjua uzuri tu. Rais Mkapa akimjua vizuri alimnyang'anyaga uraia ili arudi kwao. Kwa hofu ya "kushughulikiwa" akirudi kwao, akalialia akasamehewa aendelee kuishi kwetu. Lakini roho yake mbaya haijamtoka tu. Naishauri Serikali i deal naye ipasavyo asije akatuharibia nchi!