Jana mmenikosha Sana kwenye hii show ya big Sunday live kumuona comedian wangu ninayemkubali Sana deogratius wa cheka tu jamaa anajua kuchekesha Sana.Kwa faida ya wale wasiojua kuhusu show ya big Sunday live Ni show inayorushwa kila jumapili kuanzia saa 3 usiku Wasafi tv live pia wanarusha Instagram, YouTube na Facebook live kina uhusiana na entertainment kiujumla include baadhi ya guest au some audience kupewa challenge mbalimbali, Performance ya Wasanii, Comedians,watu wa mazingaombo,Dancers,Michezo ya sarakasi n.k.
Linah
Nimependa Sana performance ya linah Jana was classic ubunifu aliyotumia na uwezo wake wa kuimba na live band
Pia nimependa interview yake kwa ujumla.
Hapo ameperform akiwa kitandani
Linar akapewa challenge ya kupiga danadana 10 ila kajitahidi kapiga 3.
OMG
Kiufupi wasanii wote walikuja kuperform vizuri wameitendea haki stage pamoja na rap vizuri Sana na live band.Nimependa Young lunya alivyopewa challenge ya kurap kupitia beat ya bolingo wakati yeye anaimba bongofleva na kaitendea haki Sana amenishangaza Sana jamaa kweli anakipaji kikubwa.
Hapa wakiingia na gari.
Chid Benz
Huyu ndio aliua kabisa na kuangamiza kabisa na ndio alikuwa man of the show kiasi ambacho audiance wote wakaacha siti zao na kumfuata kwenye stage.Jamaa akipiga tu ngoma yake ya "Dar-es-Salaam stand up" aachi mtu salama.Ifike kipindi chid Benz apewe heshima yake.
NB: Nitoe pongezi Wasafi kutuletea show Kali Kama hii kwa sisi ambao Ni watu wa Burudani.