Mkuu mimi sitaki kusema kwamba hawa wafasi Wasafi Media Hawana Jipya Wa Ubunifu Wowote katika media industry ya Tz ila ushauri wangu kwao ni kwamba Kukopikopi Clouds, Efm na EATV sana, mfano mzuri angalia segment za vipindi vya
Sports Arena YA Wasafi vilivyo na uwiano wa vipindi vya
Sports HQ ya Efm, Mbali na Majina, mpangilio wa vipengere katika kipindi cha
SPORTS ARENA Vinafanana na vile vya
SPORTS HQ, wakati
SPORTS HQ kuna neno la kwanza namba 1 mpaka namba 4.
SPORTS ARENA wana kivumbi cha kwanza cha kabumbu au soka la nyumbani namba 1 mpaka 4,
Swali kwa ndugu zetu wa wasafi Media na mwakilishi hapa ndugu innocent dependent , ina maana hawakuuona kabisa huu mfanano? au ndio wamekubali kuwa kivuli cha EFM???.