Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
Kwani kipindi cha washa kideo na big Sunday tofauti ni nn kama sio majukwaa tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achaga unazi fuatilia vitu usiangalie vitu vya usafini tu muda wote angalia na adui yako anafanya nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee mbona Kama unahasira wameiga Nini?
Kwanza kabisa me sio adui wa clouds cos sifanyi masuala ya media put it on your mind me ni msikilizaji tu. Kingine Me sio mpenzi wa clouds tv.Tofauti ya washa kideo na big Sunday live Ni kubwa Sana labda kwa sababu umeingiza upenziKwani kipindi cha washa kideo na big Sunday tofauti ni nn kama sio majukwaa tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achaga unazi fuatilia vitu usiangalie vitu vya usafini tu muda wote angalia na adui yako anafanya nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mimi sitaki kusema kwamba hawa wafasi Wasafi Media Hawana Jipya Wa Ubunifu Wowote katika media industry ya Tz ila ushauri wangu kwao ni kwamba Kukopikopi Clouds, Efm na EATV sana, mfano mzuri angalia segment za vipindi vya Sports Arena YA Wasafi vilivyo na uwiano wa vipindi vya Sports HQ ya Efm, Mbali na Majina, mpangilio wa vipengere katika kipindi cha SPORTS ARENA Vinafanana na vile vya SPORTS HQ, wakati SPORTS HQ kuna neno la kwanza namba 1 mpaka namba 4. SPORTS ARENA wana kivumbi cha kwanza cha kabumbu au soka la nyumbani namba 1 mpaka 4, Swali kwa ndugu zetu wa wasafi Media na mwakilishi hapa ndugu innocent dependent , ina maana hawakuuona kabisa huu mfanano? au ndio wamekubali kuwa kivuli cha EFM???.Jana nilisema mm [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu Lil ommy ni upuuzi kumbe kuna watu wanaona nachoona na mm nikajua ni mm pekeyangu.
Kwanza kabisa me sio adui wa clouds cos sifanyi masuala ya media put it on your mind me ni msikilizaji tu. Kingine Me sio mpenzi wa clouds tv.Tofauti ya washa kideo na big Sunday live Ni kubwa Sana labda kwa sababu umeingiza upenzi
1.Setting design ya Wasafi Ina ubora mkubwa Sana kuliko ya clouds tv
2.Big Sunday live inahusisha all entertainment include dances,Michezo ya sarakasi, performance ya wasanii, comedians, magic games, challenge games n.k wakati ya clouds tv imejikita kwenye performance ya wasanii pekee.
3.big Sunday live Ina audience tofauti na ya clouds tv.
Ukiwaambia wanacopy huwa wanakataa kabisa na kukana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanayumba sana hawa watu.Mkuu mimi sitaki kusema kwamba hawa wafasi Wasafi Media Hawana Jipya Wa Ubunifu Wowote katika media industry ya Tz ila ushauri wangu kwao ni kwamba Kukopikopi Clouds, Efm na EATV sana, mfano mzuri angalia segment za vipindi vya Sports Arena YA Wasafi vilivyo na uwiano wa vipindi vya Sports HQ ya Efm, Mbali na Majina, mpangilio wa vipengere katika kipindi cha SPORTS ARENA Vinafanana na vile vya SPORTS HQ, wakati SPORTS HQ kuna neno la kwanza namba 1 mpaka namba 4. SPORTS ARENA wana kivumbi cha kwanza cha kabumbu au soka la nyumbani namba 1 mpaka 4, Swali kwa ndugu zetu wa wasafi Media na mwakilishi hapa ndugu innocent dependent , ina maana hawakuuona kabisa huu mfanano? au ndio wamekubali kuwa kivuli cha EFM???.
Kama Ni hivyo we jikite huko kwenye clouds na wengine wajikite Wasafi media maisha Ni rahisi maana mwisho wa siku ubora ndio unaoamua.Aliokuambia washa kideo haina games, comedians ni nani? Tofauti ni hiyo audiences tu lakini content yote mmeiba kutoka clouds maana washa kideo imeanza before big live Sunday kama ulikuwa hujui.
Nyie mmeongeza hapo audiences tu kuleta utofauti lakini vingine vyote mmecopy hamna mpya.
ila Naona vita yao Wasafi FM na E FM ,itakua na faida kwa Clouds FM ,katika Mgawanyo wa wasikilizajiUkiwaambia wanacopy huwa wanakataa kabisa na kukana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanayumba sana hawa watu.
Huna mpya ww kazi ni kucopy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ubora unazungumzia kutoka wapi wakati content yenyewe copy and paste [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama Ni hivyo we jikite huko kwenye clouds na wengine wajikite Wasafi media maisha Ni rahisi maana mwisho wa siku ubora ndio unaoamua.
Clouds sio level yao kabisa wanaforce wafanane nao lakini bado wanapata tabu sana jana wamezindua kipindi kipya tech talk wao wasafi ni copy and paste [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila Naona vita yao Wasafi FM na E FM ,itakua na faida kwa Clouds FM ,katika Mgawanyo wa wasikilizaji
Mkuu Super Villain Nadhani ni namna ya wao wasafi kujibrand zaidi. Na labda wanavyoona wao soon wanaweza kuwa ndiyo the best entertainment media hapo nyumbani.Kwani kipindi cha washa kideo na big Sunday tofauti ni nn kama sio majukwaa tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achaga unazi fuatilia vitu usiangalie vitu vya usafini tu muda wote angalia na adui yako anafanya nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu cha msingi ajira ya utangazaji inapaswa kuwa na ushindani namna hii ili watangazaji wanufaike kwa malipo mazuri.Clouds sio level yao kabisa wanaforce wafanane nao lakini bado wanapata tabu sana jana wamezindua kipindi kipya tech talk wao wasafi ni copy and paste [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda watakuwa namba 1 best kwa kuwa wezi wa content za televisheni nyingine ambazo watakuwa wakijibrand na copy and paste za wenzao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu Super Villain Nadhani ni namna ya wao wasafi kujibrand zaidi. Na labda wanavyoona wao soon wanaweza kuwa ndiyo the best entertainment media hapo nyumbani.
Kulikuwa na yule gal sijui yupo wapi carlpso alikua anabonge la voice anajua kutangaza sijui wamempeleka wapi wasafiMkuu cha msingi ajira ya utangazaji inapaswa kuwa na ushindani namna hii ili watangazaji wanufaike kwa malipo mazuri.
π π hivi hizo contents za Clouds zimekuwa registered Basata kwamba ni mali zao na hazipashwi kuwa copied na taasisi yoyote ya Burdani ndani na nje ya nchi??Labda watakuwa namba 1 best kwa kuwa wezi wa content za televisheni nyingine ambazo watakuwa wakijibrand na copy and paste za wenzao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sijajua lakini clouds wao kwani wananoma hawawezi kutishika na hiki kinyago maana yeye kazi yake sikuiga hawezi kumbabaisha kwa lolote coz ni kilaza yeye anasubiria watu wabuni yeye anafuatisha tu.π π hivi hizo contents za Clouds zimekuwa registered Basata kwamba ni mali zao na hazipashwi kuwa copied na taasisi yoyote ya Burdani ndani na nje ya nchi??
Sio hilo tu waboreshe na vipindi sasa kutwa kupiga muziki ni sawa na kudownload music kwenye simu na ukawa umejiwekea Playlist ya ngoma zako unasikiliza tu muda wote na mchezo wa kurudi nyimbo mara 6 kila baada ya dk 15 ni utoto.Ushauri wangu kwa hao wasafi media watanue wigo kwa waskilizaji isikike Hadi huko vijijini bila shida yyote maana huko vijijini watu wana mda sana wa kusikiiza radio na tv
Hivi nyie Wazoefu na Wataalamu wa hii industry ya habari, tusaidiane kidogo katika maswali haya.. Hizi redio na TV stations zinapataje faida kiasi cha kuweza kuendesha biashara na kuendeleza uwekezaji?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sijajua lakini clouds wao kwani wananoma hawawezi kutishika na hiki kinyago maana yeye kazi yake sikuiga hawezi kumbabaisha kwa lolote coz ni kilaza yeye anasubiria watu wabuni yeye anafuatisha tu.
Kwahili jamaa anastahili pongezi [emoji122] [emoji91][emoji817]Ila Maisha kitu cha ajabu sana, Kijana kutoka Tandale ameweza kuwaajiri na kuwalipa vijana ambao wengine inawezekana wamezliwa na kukulia Masaki na Oysterbay na kusoma best schools in town. Maisha ya Kijana wa TANDALE ni somo TOSHA kwa wale VJANA LOCAL wapambanaji na watafutaji wa maisha, hakuna kukata tamaa na Mungu humpa yeyote yule.