Ukimwa wako niliutegemea na una maana kubwa, ninaamini umepata jibu, mategemeo yangu ni kwamba utakuwa balozi mzuri wa kuwaelewesha wenzako kuhusu ukweli wa mambo katika hili, na vilevile kuanzia sasa utakuwa makini zaidi na kutafuta ukweli kabla ya kuchangia hapa jukwaani, lengo ni kuelimishana sio kushindanisha uzalendo, Ubarikiwe na bwana.Mbona unaruka hesabu yako tena? Si umefanya mwenyewe na ukailewewa?
Haya lets make it very simple basi, Kama hutaki kuelewa explanation ya world bank ya tofauti kati ya gdp constant na current .. tutumie hesabu tu, alafu na ile 25% increase in 2013 ili uelewe watu walifikaje $70B.
Using 5.6% growth which is 100%+5.6% or 105.6% or x1.056
2010 - $40B
2011 - $42.24B
2012 - $44.61B
2013 - $47.10 ---Rebasing happens economy recalculated to include new industries, expands by 25%... Or x1.25 -->>> $47.1B*1.25 = $58.88B
So once again...
2013 - $58.88B
2014 - $62.18B
2015 - $65.66B
2016 - $69.34B (that's $70B give or take)
and bado mna high inequality gap la kipato na jobless....[emoji23][emoji23]Buts still Kenyas budget last year stood at 23bn$
This year its at 26bn$
Next year they say 29bn$ the 2018/19 fiscal year
Tanzania mko 12bn$
[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Panya kabanwa mlangoni[emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukimwa wako niliutegemea na una maana kubwa, ninaamini umepata jibu, mategemeo yangu ni kwamba utakuwa balozi mzuri wa kuwaelewesha wenzako kuhusu ukweli wa mambo katika hili, na vilevile kuanzia sasa utakuwa makini zaidi na kutafuta ukweli kabla ya kuchangia hapa jukwaani, lengo ni kuelimishana sio kushindanisha uzalendo, Ubarikiwe na bwana.