Big-Time Investors Pump in $4.250bn

Big-Time Investors Pump in $4.250bn

Nimeangalia kwenye excel yangu baada ya rebasing GDP by 2020 the gap will be get narrowed to 2 - 3.
 
Mbona unaruka hesabu yako tena? Si umefanya mwenyewe na ukailewewa?
Haya lets make it very simple basi, Kama hutaki kuelewa explanation ya world bank ya tofauti kati ya gdp constant na current .. tutumie hesabu tu, alafu na ile 25% increase in 2013 ili uelewe watu walifikaje $70B.

Using 5.6% growth which is 100%+5.6% or 105.6% or x1.056

2010 - $40B
2011 - $42.24B
2012 - $44.61B
2013 - $47.10 ---Rebasing happens economy recalculated to include new industries, expands by 25%... Or x1.25 -->>> $47.1B*1.25 = $58.88B
So once again...

2013 - $58.88B
2014 - $62.18B
2015 - $65.66B
2016 - $69.34B (that's $70B give or take)
Ukimwa wako niliutegemea na una maana kubwa, ninaamini umepata jibu, mategemeo yangu ni kwamba utakuwa balozi mzuri wa kuwaelewesha wenzako kuhusu ukweli wa mambo katika hili, na vilevile kuanzia sasa utakuwa makini zaidi na kutafuta ukweli kabla ya kuchangia hapa jukwaani, lengo ni kuelimishana sio kushindanisha uzalendo, Ubarikiwe na bwana.
 
Panya kabanwa mlangoni[emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom