Big-up and keep it up! (secretarieti ya ajira- psrs) jana 19/09/2012

Wakati wengine tuliposema Sekretarieti haina bias na iko fair watu hawakuelewa lakini kadri siku zinavyzidi kwenda mbele ukweli unazidi kuonekana.

Mie nlisema hapa sana, watu wakasema ooh! umeajiriwa utumishi. Sometimes inabidi tuappreciate juhudi zinazofanywa na wadnadmu wenzetu wakingali hai. Lol, Big up mama Kabaka! she is doing a good job, kutransform haya madude hadi tumeanza kuyaamini. Sasa watoto wa akina kabwela nao watapata kazi huku kwenye neema
 
Reactions: SG8
Huyu sio hahusiki hapa Mkuu bombu. Anayehusika na aliyesimamia zoezi hili ni Hawa Ghasia japo na yeye alikuta mchakato umeshaanzishwa tangu enzi ya Mama Mary Nagu. Kabaka yupo Wizara ya Ajira na Maendeleo ya Vijana
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mkuu je huwa wanauliza vision au objective za kampun?
 
Asante sana mkuu je huwa wanauliza vision au objective za kampun?
Sijawahi kukutana na swali kama hilo.kama nilivyosema maswali ni general tena yale ya taaluma yako tu maana mnaweza mkafanya mtihani mmoja watu mtakaopelekwa kwenye taasisi tofautitofauti. Hata hivyo si vibaya kujua taarifa za shirika/taasisi unayotaka kufanya nayo kazi. Kumbuka mtihani hautabiriki, sio lazima wafuate historia. Soma kila unachohisi ni muhimu. Kumbuka wanachaguliwa watu exceptional wenye vitu exceptional
 
Thanx a lots mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…