bombu
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 1,127
- 542
Wakati wengine tuliposema Sekretarieti haina bias na iko fair watu hawakuelewa lakini kadri siku zinavyzidi kwenda mbele ukweli unazidi kuonekana.
Mie nlisema hapa sana, watu wakasema ooh! umeajiriwa utumishi. Sometimes inabidi tuappreciate juhudi zinazofanywa na wadnadmu wenzetu wakingali hai. Lol, Big up mama Kabaka! she is doing a good job, kutransform haya madude hadi tumeanza kuyaamini. Sasa watoto wa akina kabwela nao watapata kazi huku kwenye neema