Hakeem makamba
Senior Member
- Apr 15, 2011
- 123
- 41
Mbona inazingua kwenye kujisajili,mfano unapo weka namba ya siri ya ATM alafu inakwambia weka namba yako mpya ya siri,alafu hakikisha namba yako ya siri .mwisho unapata ujumbe (umekosea Namba ya siri ATM au namba ya kadi ya ATM).Ninavyo fahamu mimi namba ya kadi ya ATM ni namba yenye tarakimu 16 ambayo inapatikana kwenye uso wenye picha kubwa ya Tembo ,chini ya chip (gold),na namba ya siri ya ATM ninamba ambayo naitumia kwenye ATM ,Sasa mesegi nimekosea namba ya kadi ya atm au namba ya siri ya atm inatokana na nini?Ebwana me nawapa Big up sana CRDB kwa huduma yao mpya ya SIMBanking kwani ni ya ukweli kinoma. Haina mambo ya kujiunga kwa fomu na makaratasi kibao coz kitu ni hewani tu, unatwanga *150*03#, kitu na box. Me naikubali zaidi coz ina mpango mzima wa kuweza kutoa mkwanja kwenye akaunti yangu na kulipa M-PESA, AIRTEL-MOney fasta.Kiukweli hii imefanya maisha kuwa rahisi sana. Pamoja Sana CRDB.
fuata masharti vizuri ni huduma nzuri tu na rahisi kujiunga pia inaokoa muda wa kwenda kwenye tawi mbali unapoteza mafuta kuchukua elfu 50, simply unahamisha hela toka kwenye akaunti na kupeleka m pesa unatoa nje tu ya nyumba yako. Unasave costs za mafuta kutoka kwa mtogole mpk CRDB kijitonyama kwa sh 200 tuMbona inazingua kwenye kujisajili,mfano unapo weka namba ya siri ya ATM alafu inakwambia weka namba yako mpya ya siri,alafu hakikisha namba yako ya siri .mwisho unapata ujumbe (umekosea Namba ya siri ATM au namba ya kadi ya ATM).Ninavyo fahamu mimi namba ya kadi ya ATM ni namba yenye tarakimu 16 ambayo inapatikana kwenye uso wenye picha kubwa ya Tembo ,chini ya chip (gold),na namba ya siri ya ATM ninamba ambayo naitumia kwenye ATM ,Sasa mesegi nimekosea namba ya kadi ya atm au namba ya siri ya atm inatokana na nini?
wameiga kwa nmb.....mwanzoni walijifanya wajanja wakaja na ile simbanking ya web-based...walipigwa fraud consecutive mpaka wakadata ikabidi wawe wapole tu....ile system iliyopita hata miaka miwili haina, alafu ina limitations nyingi sana, simu ili iweze kuaccess simbanking ilitakiwa iwe inasupport gprs sasa hapo ndo balaa, yani umwambie mtu aitupe simu yake ya tochi then anunue simu itayokua na gprs for simbanking??? basi ikawa imeshindikana ikabidi wabadilishe the whole system, badala ya kutumia wap sasa ni ussd....so big up to NMB for initiating this idea....simple technology affordable and user friendly....
CRDB IT project team should resign.....wameiingiza bank kwenye matumizi yasiyokua na lazma.....walichoki-implement sasa wangeweza kuki-implement two years back...
sisi wanahisa tunataka kujua nani atacover ile hela iliyotumika kununua ile simbanking nyingine??

Yes Iko ok sana, mara ya kwanza nilitumia CRDB SimBanking ya internet ilijuwa inazingua sana. Hii message based is brilliant. Tatizo ni MIJITU YA TIGO siku zote yanakuwa ya mwisho kupata treni za mabadiliko. Otherwise thumbs up CRDB.
maniCRDB IT Team should resign kwa kipi hasa? kama product ilishindikana sokoni then wakaamua kuja na nyingine ili kukidhi mahitaji ya wateja hicho ni kitu cha kawaida tu mzee.NMB ndio ina high amount of fraudlents through Pesa fasta, acha kupoteza ukweli, kwani unafikiri hatujui stori za wizi huo? au hatujui wale wanachuo waliofungwa Moshi kwa kuiba through hiyo service?.Hii ni sehemu ya kuelimishana na kujuzana sio ku-criticise tu kama juha.Unamaanisha nn unaposema wameiga NMB? ATM ya kwanza hapa Bongo ililetwa na STanChart kwahiyo unataka kusema Benki nyingine zote zenye ATM wameiga StanChart?
Nilitaka kujiunga na CRDB siku za nyumba lakini niliamua ku-cancel forever wazo hilo baada ya fedha nyingi za UFISADI hasa wa EPA kuonekana zilipitia CRDB. Hadi benki ya Wakenya KCB walistukia dili la EPA na kukataa baadhi ya fedha kupitishwa kwenye benki yao lakini benki 'yetu' CRDB ilikubali uchafu huo.
Nadhani badala ya kusifia kila kitu kuna haja sasa ya sisi wananchi kuzisusia taasisi za kibiashara zitakazoonekana ku-support ufisadi kwa njia moja ama nyingine IWE KWA KUJUA, KUTOKUJUA, AU KWA BAHATI MBAYA hata kama watatoa huduma nzuri namna gani! In the long run ni sisi wananchi ndio tutakaoumia kwa vitendo vyao. Ni wajibu wao kuhakikisha hilo halitokei.