Big up crdb kwa simbanking

Big up crdb kwa simbanking

Mimi nimejaribu kujisajili kwa njia hiyo ya *150*03#,nikafika mahala naombwa namba ya kadi ya benki,kila nikiingiza inakataa,kwa hapa ni namba ipi inayoitajika? Tafadhali msaada. In general what are the staps to be followed and what is needed?
 
CRDB IT Team should resign kwa kipi hasa? kama product ilishindikana sokoni then wakaamua kuja na nyingine ili kukidhi mahitaji ya wateja hicho ni kitu cha kawaida tu mzee.NMB ndio ina high amount of fraudlents through Pesa fasta, acha kupoteza ukweli, kwani unafikiri hatujui stori za wizi huo? au hatujui wale wanachuo waliofungwa Moshi kwa kuiba through hiyo service?.Hii ni sehemu ya kuelimishana na kujuzana sio ku-criticise tu kama juha.Unamaanisha nn unaposema wameiga NMB? ATM ya kwanza hapa Bongo ililetwa na STanChart kwahiyo unataka kusema Benki nyingine zote zenye ATM wameiga StanChart?

nachokisema wakati mnaingia kwnye simbanking(gprs) technology zote zilikuwepo...uvivu wa kufikiria ndio uliowafanya mchukue hiyo...mbona ipo straight kabisa technology mliyoitumia kwenye simbanking ya zamani ina limitations kibao since the first day napata hiyo presentation yenu niliwashangaa....project team should always be ahead of everything, think perfectly and comeup with appropriate solution which will last long in the market sio kubeep kama mlivofanya...ile ya ussd inayotumiwa na nmb ni simple ku-integrate na technology zingine kama hizo za pesa fasta etc etc, mimi kama mwanahisa lazma nihoji na wewe kama mmoja wa project team unatakiwa uje na very logical points za kunishawishi nikuelewe kilichokufanya uiache technology ile ya nmb na kuja na ya gprs mliyoitumia. sio kuleta siasa hapa eti product ilifel market ndo tukaibadilisha....tht is poor justification.
 
Mimi nimejaribu kujisajili kwa njia hiyo ya *150*03#,nikafika mahala naombwa namba ya kadi ya benki,kila nikiingiza inakataa,kwa hapa ni namba ipi inayoitajika? Tafadhali msaada. In general what are the staps to be followed and what is needed?

Unaıngıza kwanza namba hızo 16 za kadı sıyo akauntı namba. Akauntı namba unaıngıza baadaye na mımı nımesumbuka sana ıla nımeweza sasa hıvı.
 
Mi nimejisajili kwa line ya Tigo, nahitaji kujitoa ili nijisajili kwa VODA kwa matumizi rahisi ya M-pesa. Kwa anaejua jinsi ya kujitoa anisaidie plz.
 
Gharama ni hz...
Unapotumia CRDB simbanking kwa sekunde 20 ni Tsh 15. Ukifanya transaction CRDB-M PESA /vice versa kwa kila muamala ni Tsh 1000

Hii ni kwa Vodacom
 
Mi nimejisajili kwa line ya Tigo, nahitaji kujitoa ili nijisajili kwa VODA kwa matumizi rahisi ya M-pesa. Kwa anaejua jinsi ya kujitoa anisaidie plz.

Kwanı haıruhusıwı kujısajılı kwa zaıdı ya lıne moja?. Itakuwa taabu kama nı hıvyo.
 
Nilitaka kujiunga na CRDB siku za nyumba lakini niliamua ku-cancel forever wazo hilo baada ya fedha nyingi za UFISADI hasa wa EPA kuonekana zilipitia CRDB. Hadi benki ya Wakenya KCB walistukia dili la EPA na kukataa baadhi ya fedha kupitishwa kwenye benki yao lakini benki 'yetu' CRDB ilikubali uchafu huo.

Nadhani badala ya kusifia kila kitu kuna haja sasa ya sisi wananchi kuzisusia taasisi za kibiashara zitakazoonekana ku-support ufisadi kwa njia moja ama nyingine IWE KWA KUJUA, KUTOKUJUA, AU KWA BAHATI MBAYA hata kama watatoa huduma nzuri namna gani! In the long run ni sisi wananchi ndio tutakaoumia kwa vitendo vyao. Ni wajibu wao kuhakikisha hilo halitokei.

Dude take it easy, No Man is perfect!!
 
Kwanı haıruhusıwı kujısajılı kwa zaıdı ya lıne moja?. Itakuwa taabu kama nı hıvyo.

Najaribu kujisajili tena kwenye VODA inaniambia huduma hakuna nijaribu baadae. I will keep on trying.
 
Gharama ni hz...
Unapotumia CRDB simbanking kwa sekunde 20 ni Tsh 15. Ukifanya transaction CRDB-M PESA /vice versa kwa kila muamala ni Tsh 1000

Hii ni kwa Vodacom

Kueka inakueje muhishimiwa?
 
Unaıngıza kwanza namba hızo 16 za kadı sıyo akauntı namba. Akauntı namba unaıngıza baadaye na mımı nımesumbuka sana ıla nımeweza sasa hıvı.
Nashukuru mkuu,nimegundua kuna baadhi ya namba zimefutika kwenye kadi yangu ya benki.
 
Back
Top Bottom