Erotica kwa nini unaitaabisha nafsi yako mamito? Come this way uconfess kiha uanze upya lifevis too short bana! Kha
Jamani huku kwetu hakuna cheo kikubwa kama hicho wewe unadharau..basi wewe mchaga mamito...teh teh teh
teh teh teh. hii ya uchaga imekaa sawa, me like.
Nimehisi unapenda nini? sisi kina masawe tuna machale mpaka makalioni, teh teh teh. Nitumie profile niwatumie vijana waanze kuifanyia uchambuzi.
hapana Ndahani, hio itakuwa ni insult kwangu. hunitaki inatosha na i respect that.
huna haja ya kuenda nitatutia wengine, sina papara hasa na mimba hii, wacha nijikite kwa wale
wenye interest kama HYGEIA, Paxman na klorokwini labda nitapata uhauheni.
Hasa hivi ambavo mchungaji Kaizer kaahidi kuniungamisha nikwa na mpenzi Kaunga pembeni with me daima.
Akijualika usiende lol
Ntake radhi Erotica...mi najipendekeza hivi ndo unaanza kunikimbia. Utanikumbuka miye
acha uwongo haukupendezi papito. alafu nani kasema nitakusahau?
teh teh teh. he hates me. hawez kunialika, sina was was wa kufikiria kwenda ama lah.
Yaani nimejichekesha wee...mara njoo hapa mara njoo kule hata kusema asante nakuja hakuna. Duuh! Inawezekana ukanisahau...mapacha wakitokea wakichina? Si ndo itakuwa visa ya kuhamia guagzhooo
hivi ww mwanaume mbona una roho mbaya hivo? wachagga wenzio hawako hivo papito.
hunitaki but you don't want to let go? mambo ya wapi hayao? hebu nitendee haki sio fresh hivo kirusha roho.
Mafundisho yanasema mpende adui yako, mlango mmoja ukijifunga mbele yako.......
hivi ww mwanaume mbona una roho mbaya hivo? wachagga wenzio hawako hivo papito.
hunitaki but you don't want to let go? mambo ya wapi hayao? hebu nitendee haki sio fresh hivo kirusha roho.
mchungaji mbona kama unanichanginyi? alafu Ndahani hawezi kuwa adui wangu KAMWE!
Nikutendee haki mara ngapi? haki nshakutendea...tatizo husomeki kabisaa...halafu nani kakwambia mi mchaga? Si unajua top seat imekaliwa na mzaramo...chezea wazaramo wewe!!
Nimehisi unapenda nini? sisi kina masawe tuna machale mpaka makalioni, teh teh teh. Nitumie profile niwatumie vijana waanze kuifanyia uchambuzi.
Mimi na wewe nani hasomeki? hebu jisome hapo juu then usome hapa chini
na akina masswe ni nani? alafu kwahio saiz uko radhi uwe na Ero?
sbb toka mwanzo hilo ndio ugonvi wetu mm na ww.