Niende wapi papie? mie nisha kuja in terms with your ignoring me hivo i deal
with it ki utu uzima. Ni vile tu nakuhitaji msaada wako hasa kipindi hichi cha mapacha.
hata kama kwa kunishika mkono ukiwa pembeni.
zomba mie tu huwa nakushangaa sana hio system yake at work inafanya vipi kazi,
katima maelf wa members jf, na maelfu ya sredi za jf lazima uingie yangu kwa gear na
kuniponda na kila mara kumleta Mwali kama mwanamke ambae waona ni bora zaidi yangu. maswali kwako.
1. Ni sababu hujui kutongoza na unanituma kwa Mwali kijanja?
2. Au ww ndio wale ambao Boflo kasema wana mastabeti kwa picha yangu hutaki kuadmit?
3. kitu gani kinakuvutia kwangu kikufanyacho ushindwe kabisa kupita bila kukoment na hali wadai hunikubali?
mwaaaaaaaah papito. come this way, nahsi umenidondokea na unanitaka pia ila hujitambui.
Kama si mkorogo na nywele za maiti ni nini hiki? kwi kwi kwi teh teh teh! Huko hunileti hata nikiwa naamka asubuhi, mijitoto natural imejaa, unamjuwa Mwali weye? cheki kitu natural ya uhakika hii:
MashaAllah!
zomba mie tu huwa nakushangaa sana hio system yake at work inafanya vipi kazi,
katima maelf wa members jf, na maelfu ya sredi za jf lazima uingie yangu kwa gear na
kuniponda na kila mara kumleta Mwali kama mwanamke ambae waona ni bora zaidi yangu. maswali kwako.
1. Ni sababu hujui kutongoza na unanituma kwa Mwali kijanja?
2. Au ww ndio wale ambao Boflo kasema wana mastabeti kwa picha yangu hutaki kuadmit?
3. kitu gani kinakuvutia kwangu kikufanyacho ushindwe kabisa kupita bila kukoment na hali wadai hunikubali?
mwaaaaaaaah papito. come this way, nahsi umenidondokea na unanitaka pia ila hujitambui.
Kwa maana hiyo umejikoroga na umejipamba kwa nywele za maiti? Rangi na nywele ulizoumbwa nazo hazina mvuto?
Uzuri wa nkebe.
Hii ligi ikiisha mniambie nimkambizi mshindi boooonge la zawadi.1) Kutongoza ndio nini?
2) Unaongelea picha hiyo ya mkorogo au hiyo ya avatar? maana hujulikani picha yako ni ipi.
3) Kinachonivutia ni pale nnapoona mnapotea njia na huja kuwaweka sawa.
Mtu kusifia mkorogo na nywele za maiti ni kupotea njia.
Kuhusu Mwali wala usijali, ni mwanamke ambae yuko natural na anapendeza na kuvutia kama alivyo na ushahidi nimekuwekea hapo juu, unashaka na hilo.
Kama kuna mwanamke wa JF anaenikosha roho yangu kila nnapoona comment zake na avatar yake basi wa kwanza ni Mwali, wa pili ni Mwali, wa tatu ni Mwali. Kama kula ngunga kwa picha basi hakuna ntayoilia ngunga zaidi ya picha ya Mwali.
Erotica mamito kuna wazandiki pia wataingilia penzi lenu, hii inatokana na udhaifu wa kuanzia chama tawala, mpaka vibaraka wake! na kama kuna mwananchi wa hapa jf yupo against wewe na hubby wako HYGEIA, mwambie ajipake mkojo wa nyati, biashara iishie hapo! mwahhhhh kwa twins lol!nimewachumu, nimewakiss, nimewa mwaaaaaah. wamefurahije? wanahamuje ya kukuona
wewe na mwenzato? ndio ujue sasa twins wana kiherehere. teh teh teh, but so sweet.
Nikushike mkono wapi? Au hewani hewani? hao mapacha si wana baba? wakishadondokea kwenye mikono ya baba zao tu nitafute...labda itakuwa 2050 hivi. Basi usihofu am there for you as usual....
1) Kutongoza ndio nini?
2) Unaongelea picha hiyo ya mkorogo au hiyo ya avatar? maana hujulikani picha yako ni ipi.
3) Kinachonivutia ni pale nnapoona mnapotea njia na huja kuwaweka sawa.
Mtu kusifia mkorogo na nywele za maiti ni kupotea njia.
Kuhusu Mwali wala usijali, ni mwanamke ambae yuko natural na anapendeza na kuvutia kama alivyo na ushahidi nimekuwekea hapo juu, unashaka na hilo.
Kama kuna mwanamke wa JF anaenikosha roho yangu kila nnapoona comment zake na avatar yake basi wa kwanza ni Mwali, wa pili ni Mwali, wa tatu ni Mwali. Kama kula ngunga kwa picha basi hakuna ntayoilia ngunga zaidi ya picha ya Mwali.
Ndahani mbona unapenda kuniumiza roho namna hio, hata kuwa na hii mimba unionei huruma?
nimekukosea nn mwanaume ww?! unataka nifanye nn walau tuwe marafiki tu kama mm na FirstLady1?
acha hizo papito, mm taka sana watoto wakuite ankal, kuhus baba yao nimekata tamaa, kuwaweka
sawa wote wa5 wakae na kujadili ni nani baba naona imekuwa misheni impossibo. nimeamua nalea mwenyewe.
pole papito nakuchanganya hadi unasahau kutongoza ni nini? kumbe sio kosa lako ndio mana unashindwa
kumtokea Mwali umwambie biolojia yako inakauka namna gani juu yake. fanya fanya mazoezi hata kwangu mana
mie Ero sina hiyana. ila tu najua Mwali is cleva enafu akijua tamaa yako inahusika atakukimbia kama ukoma
saizi ile sred inaonesha tu appreciation ya her naturale beauty. akijua tu ukweli hata salamu hutapata.
acha basi ufataki wakutafuta vitoto vidogo kwa kuvipatia chipusi au kuwa na madada powa kwa kuwaonesha noti.
hio ndio inakufanya uwe mzembe na usijue kutongoza ni nini. come this way papito for huna jinsi zaidi
ya kumfuata fuata Erotica Erocious, sexy lovely and irressistable to follow. mwaaaaaaaah.
[/CENTER]
Hii ligi ikiisha mniambie nimkambizi mshindi boooonge la zawadi.
teh teh teh. babu hivi hujamsoma Zomba? yule ni mahisia yamemjaa juu yangu ndio yanamsumbua,
hili ligi lisipoishia kwenye ukaguzi nahisi anaweza lazwa psychatric ward. mm sina roho mbaya sitaki aende huko.
teh teh teh. hivo unaweza kuta tukaingia ulingoni na wote tukatoka washindi kama anaweza game lakini.
Mpaka sasa we unaongoza! Mi sina wajukuu dhaifu bana. Naona HYGEIA anakusaidia hapo. Usisahau kumfanyia shopping ya boxer puliiiz...
Wapi huko tutakutana maana hujaniambia kabisa...unafanya sirikali.
chagua ww, unataka iwe wapi na kuwe na nn? :wink2:
wewe si mtaalamu kwahiyo fanya mambo yoote....Angalizo...usinipeleke mbagara kuna foleni