Big up, Professor Jay

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Jana wakati nimeenda account ya insta ya Professor Jay nimeona amerusha show yake live aliyofanya Congo. Jamaa amejaza uwanja na amepiga show ya kufa mtu. Honestly nimefuraishwa sana na ukilinganisha jamaa ni Mwana hiphop.

Kitu alichokifanya Professor Jay ni kikubwa sana especially kwa game ya hip-hop. Natamani hii ifanywe na kwa kina Roma, Blue,Youngkiller n.k badala ya kufocus show za ndani tu.
 
Wanahiphop bongo huwa hawana destur ya kujiongeza ndomaana wanakuwa wananyomywa kipumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…