Jana wakati nimeenda account ya insta ya Professor Jay nimeona amerusha show yake live aliyofanya Congo. Jamaa amejaza uwanja na amepiga show ya kufa mtu. Honestly nimefuraishwa sana na ukilinganisha jamaa ni Mwana hiphop.
Kitu alichokifanya Professor Jay ni kikubwa sana especially kwa game ya hip-hop. Natamani hii ifanywe na kwa kina Roma, Blue,Youngkiller n.k badala ya kufocus show za ndani tu.