INAUZWA Big Washing Machine, Tsh 300,000/-

INAUZWA Big Washing Machine, Tsh 300,000/-

Joined
May 8, 2018
Posts
75
Reaction score
34
These are Big Washing Machine suit For Hotel use or even Commercial Laundry also for Children Boarding Schools. Even for Home use.

mashine hizi ni kubwa, zinafaa kwa mahotelini hata kwa ufuaji wa kibiashara, pia kwa shule za wanafunzi wanaolala hukohuko wa english medium.

Used Abroad

zimetumika nje ya nchi

Brands Beko, Hotpoint etc

Their Capacity is 6kg which make you wash larger quantities of your clothes at one time.

uwezo wake ni kilo 6 hivyo zinakupa uwezo wa kufua nguo nyingi kwa mara moja.

More than 10 pieces available.

zipo zaid ya 10 kwa idadi

call us 0718032837, 0688184986

We are at Kariakoo opposite to Gerezani Mwendokasi Bus stand gates.

tunapatikana kariakoo, tunatazamana na stendi ya mwendokasi ya gerezani.

washh.JPG
 
These are Big Washing Machine suit For Hotel use or even Commercial Laundry also for Children Boarding Schools. Even for Home use.

Used Abroad

Brands Beko, Hotpoint etc

Their Capacity is 6kg which make you wash larger quantities of your clothes at one time.

More than 10 pieces available.

call us 0718032837, 0688184986

We are at Kariakoo opposite to Gerezani Mwendokasi Bus stand gates.

View attachment 903330
Kwan kiswahili hujui mkuu Mana wengine hatujaelewa
 
Linakulaje umeme? Last price n ngap nataka moja
Sijajua kwa hizi zinazouzwa ila mimi ninayoyo LG zinatumia umeme mdogo sana, hauzidi 10k kwa mwezi, maji ndio inatumia mengi japo zio kwa kiasi kikubwa sana hasa kwenye kusuuza nguo.
 
Sijajua kwa hizi zinazouzwa ila mimi ninayoyo LG zinatumia umeme mdogo sana, hauzidi 10k kwa mwezi, maji ndio inatumia mengi japo zio kwa kiasi kikubwa sana hasa kwenye kusuuza nguo.
Hii ni tsh ngapi na kilo ngapi? Maana ninavyoona uvivu kufua hii inanifaa.
 
Manual zinafua tu automatic zinafua zinakausha zenyewe

washing machine zipi aina mbili (1) manual ni kama pichani niliyoiweka inatumia mkono tu na haitumii umeme kabisa, (2) nyingine ni automatic,

pia automatic washing machine zimegawanyika aina 3, (i) washer only, (ii) washer and dryer, and (iii) dryer only.
 
Automatic machine n auto ishia hapo maelezo mengine n manually

Automatic washer machine inamaanisha inafua, inasuuza na kukausha ukianza kuleta Mana ambazo hatuna tutashindwa kukuunga mkono punguza ujuaji nenda na uhalisia wa mazingira Kama unafanya biashara
 
Ninafahamu ninachokisema na maana ya juu logically niliyosema itabaki kuwa hivyo na ndio inapaswa kua hivyo.....

Lakini ngoja nikupe maana ingine ambayo watu wengine mnajua kivingine.....

Automatic washing machine in other perspective watu wanasema ni zile zenye drum moja ambayo inazifua nguo na kukausha moja kwa moja, yaani haihitaji manually intervation kuzichukua kuziweka kwenye drum ingine ili zikakaushwe,

Semi automatic washing machine zina drum mbili moja ya kufua na ingine ya kukausha ambapo baada ya kutoka drum la kufua inahitaji manually intervation kuzichuka nguo kuzihamisha drum la kukausha

Manual washing machine hizi zina drum moja tu la kufua, na baada ya kufuliwa itahitaji manually intervation kuziweka kwenye machine nyingine ambayo ni ina drum la kukausha , au kuziweka juani zikauke hizo nguo baada ya kufuliwa
 
Back
Top Bottom