Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Mtaachana tu....Niliyenae hana hicho kidude mkuu...basi ni 😋
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaachana tu....Niliyenae hana hicho kidude mkuu...basi ni 😋
🤣🤣🤣 Kama mlivyoachana🙌Mtaachana tu....
Ukija ooh nakipenda kibamia, nakufungia milango.....🤣🤣🤣 Kama mlivyoachana🙌
🤣🤣🤣Kama pesa ipo nitavumilia daima mkuuUkija ooh nakipenda kibamia, nakufungia milango.....
Tangia lini ulipenda kibamia
Umenikumbusha series moja ya kifilipino kuna sterring alikuwa anaitwa Daniel
Huyo jamaa alikuwa anang'ang'ania mke wa mtu nikawa simpendi kuna siku nikasema wazi kuwa huyu jamaa simwelew namchukia sana aiseee wanawake wa pale home walinishambulia sana walikuwa wanamkubali sana daniel,wakaanza nisimulia huko mwanzo ilivyokuwa maana wakat inaanza mim nilkuwa chuo
Lakin utetez wao bado sikuuelewa maana daniel alikuwa mpenz wa utoton,mwanamke akaolewa ila jamaa baadae akarud anataka achukue mwanamke ,mwanamke nae akawa anataka kuvunja ndoa eti kisa mpenz wa utoton karud
tiGo je?Women's ideal sense of romance is literally cheating.
Sexual fantasy kubwa ya wanawake ni kucheat, na hii nimejifunza the hard way.(Hiki kisa ntakuja kukisimulia siku nyingine)
Mwanzoni nilikuwa mwenyew siamini ila baada ya kufanya uchunguzi kidogo, kuna mambo baadhi yameshawishi niamini hichi kitu, kwamba the biggest sexual fantasy kwa wanawake ni ku-cheat.
We jaribu tuu kufikiria, Succesful romantic movies karibia zote zinahusu cheating, and guess what? Ndizo movie zinazopendwa zaidi na wanawake.
Sleepless in seattle - cheating
You got mail - cheating
Four wedding and a funeral - cheating
Runaway Bride - cheating
Enchanted - cheating
Letters to Juliet - international cheating
The bridges of maddison country - Old people cheating
Stomp the yard - cheating
The notebook - so much cheating
The Great Gatsby - rich people cheating
Crazy stupid love - too much cheating
Titanic - cheating with a poor guy
Titanic ndo funga kazi, ni story inayomhusu mbibi ambaye yupo karibia kufa, but badala amkumbuke mme wake aliyezaa nae watoto na aliyeishi nae kwa miaka 70, anamkumbuka jamaa flani aliyefanya nae mapenzi(ali cheat nae) kweny meli wakati wa ujana wake, and women think this is romantic....
what the f*ck??
Most of these movies zinaanza mwanamke ana boyfriend/husband wake but movie inakushawishi kwamba jamaa sio mtu mzuri au kafanya kosa flani, then huyo mwanamke anakutana na mwanaume mwingine na baada ya muda mfupi tuu(wala sio muda mrefu inawezekana hata siku hiohio) anacheat nae, alaf utasikia wanawake wanaisifia movie ipo very romantic, how??
Tukija kweny music industry, ndo usiseme, ukiachana na wanamziki wa mbele akina taylor swift ambao nyimbo zao pendwa zinahusu cheating, we fatilia hata hawa wa bongo fleva Maua Sama, Nandi etc, most of nyimbo zao zinahusu cheating, unakuta anagombana na mpenzi wake, then anakutana na mshkaji mwingine, KAMBA! au anakuwa na mpenzi wake, then anakutana na mwanaume mwingine ambaye ni bora zaidi ya mpenzi wake, then cheating happens.
HAIWEZI IKAWA COINCIDENCE!
Yeah!,walang hangganDaniel and Katerina. Walang Hanggan hiyo inaitwa noma sana
tiGo mtandao?tiGo je?
HaswaNa wanawake ndio hawajui tofauti ya movie na maisha halisi.
[emoji3][emoji3][emoji3]Sitaki kuamini kwamba dunia nzima hakuna mwanamke anayefurahia kibamia.
I believe
Women's ideal sense of romance is literally cheating.
Sexual fantasy kubwa ya wanawake ni kucheat, na hii nimejifunza the hard way.(Hiki kisa ntakuja kukisimulia siku nyingine)
Mwanzoni nilikuwa mwenyew siamini ila baada ya kufanya uchunguzi kidogo, kuna mambo baadhi yameshawishi niamini hichi kitu, kwamba the biggest sexual fantasy kwa wanawake ni ku-cheat.
We jaribu tuu kufikiria, Succesful romantic movies karibia zote zinahusu cheating, and guess what? Ndizo movie zinazopendwa zaidi na wanawake.
Sleepless in seattle - cheating
You got mail - cheating
Four wedding and a funeral - cheating
Runaway Bride - cheating
Enchanted - cheating
Letters to Juliet - international cheating
The bridges of maddison country - Old people cheating
Stomp the yard - cheating
The notebook - so much cheating
The Great Gatsby - rich people cheating
Crazy stupid love - too much cheating
Titanic - cheating with a poor guy
Titanic ndo funga kazi, ni story inayomhusu mbibi ambaye yupo karibia kufa, but badala amkumbuke mme wake aliyezaa nae watoto na aliyeishi nae kwa miaka 70, anamkumbuka jamaa flani aliyefanya nae mapenzi(ali cheat nae) kweny meli wakati wa ujana wake, and women think this is romantic....
what the f*ck??
Most of these movies zinaanza mwanamke ana boyfriend/husband wake but movie inakushawishi kwamba jamaa sio mtu mzuri au kafanya kosa flani, then huyo mwanamke anakutana na mwanaume mwingine na baada ya muda mfupi tuu(wala sio muda mrefu inawezekana hata siku hiohio) anacheat nae, alaf utasikia wanawake wanaisifia movie ipo very romantic, how??
Tukija kweny music industry, ndo usiseme, ukiachana na wanamziki wa mbele akina taylor swift ambao nyimbo zao pendwa zinahusu cheating, we fatilia hata hawa wa bongo fleva Maua Sama, Nandi etc, most of nyimbo zao zinahusu cheating, unakuta anagombana na mpenzi wake, then anakutana na mshkaji mwingine, KAMBA! au anakuwa na mpenzi wake, then anakutana na mwanaume mwingine ambaye ni bora zaidi ya mpenzi wake, then cheating happens.
HAIWEZI IKAWA COINCIDENCE!
Uje bhasi mana hata Mimi pia ni Baba Mkwe 😁Natamani sana
Ume mzaa nani?Uje bhasi mana hata Mimi pia ni Baba Mkwe 😁