Bigsize Phobia: Hofu ya wanaume wenye maumbile madogo kuwaogopa wanaume wenye size kubwa, ushahidi umeambatanishwa

Hata penseli ikitumika vizuri inamridhisha mwanamke...
 
Ni vizuri pia kujifariji πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu tumeshakuelewa una size ndogo, huna haja ya kuandika gazeti , hayo mambo ya utafiti baki nayo wewe,
 
Kuna Mtu unakuta akiwa hana wazo la sex uume ni mdogo sana kibamia kabisa ila akipata stimu ikisimama inakuwa normal size yaani huoni aibu mbele ya demu ilaa ukimalizaa mshindo inarudii tenaa ukipumzika ukipata guvu tena inapanda kama kawa shida ipo tu kama hana wazo la sex ni ndogo mnoo ndio tatizo linalosumbua jee ni kibamiaa ikiwaa ime lala au ikiwa imesimama ????
 
Mimi huwa najiona nina umbile dogo,lakini nikikutana na mwanamke mechi inakuwa mshike mshike,anadai namuumiza sasa sielewi kibamia changu ndo kinamuumiza kweliπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Mimi huwa najiona nina umbile dogo,lakini nikikutana na mwanamke mechi inakuwa mshike mshike,anadai namuumiza sasa sielewi kibamia changu ndo kinamuumiza kweli[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Anakupa fake news huyo[emoji23]
 
Mimi huwa najiona nina umbile dogo,lakini nikikutana na mwanamke mechi inakuwa mshike mshike,anadai namuumiza sasa sielewi kibamia changu ndo kinamuumiza kweliπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Kuna bongo muvi hadi kwenye 6x6 ili uonekane fundi ,😁😁 hata wazee wenye miaka 70 wanaitwa baby πŸ˜‚πŸ˜‚ wakiona una ndogo inabidi wakusifie ujione una kubwa
 
Kuna bongo muvi hadi kwenye 6x6 ili uonekane fundi ,😁😁 hata wazee wenye miaka 70 wanaitwa baby πŸ˜‚πŸ˜‚ wakiona una ndogo inabidi wakusifie ujione una kubwa
Ila cha kushangaza Kibamia changu uwa kinakuwa tight...kinabanwa sana kinaingia kwa shida..mpaka mi mwenyw nahic kama naumia,,,huenda sio kibamia kweli
 
Wanaume wanawaogopa wanaume kwani wanafanyana. Na wanakaguana saaa ngapi.
 
Zamani vijana Wanaume tulipenda mada za kufanya sex, hatukujali mambo ya maumbile, tulipeana connection na magheto ya kumalizΓ  mchezo siku hizi naona ni kuviziana chooni na bafuni kujipimisha. Sasa ukishaona ni kubwa/ndogo sijajua uliloona linakaa akilini muda gani ndo likutoke na unaliwazia mambo gani maana tayari ushajiaminisha ww ni mwanaume kidogo kuliko uliyemuona au umemzidi uanaume.

Inawezekana kuna uhusiano mkubwa kati ya mwanaume anayefikiri kupimisha maumbile ya wanaume wengine na tamaa ya kuingiliwa/kuingilia kinyume na maumbile maana ni kama kiu za hayo mambo zinaenda sambamba na nia ya upimishaji wa maumbile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…