USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
WAJUMBE TULETEENI ENG EZRA JOHN CHIWELESA
NDUGU WAJUMBE.
Kabla ya Mh Eng Ezra John Chiwelesa hajawa mbunge jimbo letu lilikuwa linapokea kiasi kidogo sana cha bajeti cha milioni 688 tu kwa mwaka huku majirani zetu katika wilaya za mkoa wa kagera na taifa zima walikuwa wanapokea mabilioni kila mwaka.
NDUGU WAJUMBE.
Tunakwenda kwenye uchaguzi mkuu tukiwa tunapokea 2.2 bilioni kwa mwaka baada ya patashika huko bungeni ,Wizarani na vikao vya kila siku kati ya mbunge wa biharamulo Eng Ezra Chiwelesa na wakuu sasa tunapokea angalau pesa zenye uwiano na uhitaji halisi.
NDUGU WAJUMBE.
Tunahitaji mtu atakaye endelea kupambania ujenzi wa barabara zetu zijengwe kwa lami .
Kwa sasa biharamulo inamuhitaji sana Eng Ezra Chiwelesa
WAJUMBE TULETEENI ENG EZRA CHIWELESA