Tetesi: Biharamulo: Wanafunzi hufukuzwa kwenye vipindi na kupewa adhabu kwa kushindwa kulipa hela ya Walimu wa ziada

ndyana

Senior Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
152
Reaction score
28
Wanafunzi wa shule ya secondary LUSAHUNGA wilayani Biharamulo hufukuzwa kwenye kipindi cha sayansi na kupewa adhabu ya kuponda kokoto ndoo 3, kwa kosa la kutolipa mchango wa walimu wa ziada shs 13,000/_ he hiyo ndiyo elimu bure
 
Bado kuna wakuu wa shule miungu watu
 
Wanafunzi wa shule ya secondary LUSAHUNGA wilayani Biharamulo hufukuzwa kwenye kipindi cha sayansi na kupewa adhabu ya kuponda kokoto ndoo 3, kwa kosa la kutolipa mchango wa walimu wa ziada shs 13,000/_ he hiyo ndiyo elimu bure
Majungu hayo....toa taarifa sehemu husika....hapo Bihalamuro kuna Mkuu wa wilaya nenda toa taarifa.
 
brother achen ungese kabisa achani watoto walipe hyo hela wapate walimu wa masomo ya science watimize ndoto zao
shule nyingi hakuna hao walimu wadogo zetu wanaumia na wakuu wa shule wameamua kukaa kimya kwa kuogopa kutumbuliwa
we unakuja na ungese wako hapa
 
jambo ambalo haliitaji Siasa ni elimu, mtoa mada ujatumia vizuri JAMII FORUM kwa kua ni sehem ya kutoa mawazo chanya ambayo yataipa mamlaka muda wa kutafakuri, michango hiyo inafanyika wilaya karibu zote. Sekondari kwa msaada wa bodi zq shule na serikali za. Kijiji, kata husika na ikitokea mtt ambae hajalipiwa hutolewa njee hvyo jukum la mzazi kubaki na ujinga wake usioisha khs elim bure au kumlipia mtt
 
brother achen ungese kabisa achani watoto walipe hyo hela wapate walimu wa masomo ya science watimize ndoto zao
shule nyingi hakuna hao walimu wadogo zetu wanaumia na wakuu wa shule wameamua kukaa kimya kwa kuogopa kutumbuliwa
we unakuja na ungese wako hapa
Umenikumbusha mkuu hata sisi tukiwa pale songea boys miaka flani tulikosa mwalimu wa biology kwa mwaka wote wa form six. Headmaster aliongea nasi kuwa kama tupo tayari atutafitie mwalimu ambaye tutamlipa kwa topic. Tulikubali na tulifundishwa na mwalimu wa kutoka songea girls kwa kumlipa sisi wenyewe.

Ukwel ni kwamba walimu wa sayansi hawapo wa kutosha kwa nchi nzima, ni muhimu wazazi wakaona umuhimu wa kuchangia gharama za hao walimu wa kuazima ili watoto wao wasome. Tuache kulalamika, tuchukue hatua. Elimu bure imekuja kupunguza gharama lkn bado inazo changamoto nyingi ikiwemo upungufu wa vyumba vya madarasa, madawati. Changamoto hizi chama chochote kikiingia madarakani hakiwezi kuzitatua ndani ya mwaka mmoja au miwili maana zinahitaji investment kubwa sana.

Ni bahati mbaya tu ukosoaji umekuwa mkubwa mno ndio maana hata serikali inashindwa kukiri uwepo wa mapungufu haya. Ukweli ni kwamba hata mbowe akiwa rais leo Tanzania haitageuka kuwa peponi bali naye atasema anajenga nchi na tutapitia taabu hizi hizi kwa zaidi ya miaka 10.
 
brother achen ungese kabisa achani watoto walipe hyo hela wapate walimu wa masomo ya science watimize ndoto zao
shule nyingi hakuna hao walimu wadogo zetu wanaumia na wakuu wa shule wameamua kukaa kimya kwa kuogopa kutumbuliwa
we unakuja na ungese wako hapa
Nashukuru kwa kunitukana
 
Mwalimi acha majungu na nakufahamu vzr. huendi marking wala kazi yoyote hadi nistaafu.
 
Nashukuru kwa kunitukana
Na mimi nakutukana we ni mjinga kabisa...lipa hiyo elfu 13 na sio kulialia ujinga hapa...huyo mwalimu wa science unataka nani amlipe...nenda wewe bhc kafundishe hao watoto bure....mi watu mingine mnakera sana..vitu vidogovidogo mnalialia...
 
Asante
 
Huyu mleta mada hajielewi kabisa kwakweli. Suala la upungufu wa walimu wa sayansi ni la nchi nzima na si rahisi kulitatua kabisa hata kwa miaka mitano ijayo. Anapojitokeza mwalimu ambaye anafundisha kwa kuchangiwa na wazazi ni vyema wazazi wakafanya hivyo na sio kulialia.
 
Wanafunzi wa shule ya secondary LUSAHUNGA wilayani Biharamulo hufukuzwa kwenye kipindi cha sayansi na kupewa adhabu ya kuponda kokoto ndoo 3, kwa kosa la kutolipa mchango wa walimu wa ziada shs 13,000/_ he hiyo ndiyo elimu bure
We lazima utakuwa mchawi ama unasoma twisheni ya uchawi.

Hakuna mamlaka huko mpaka uje humu kwa jambo jepesi hivi?
 
Mimi sikubaliani na uzi huu kama kamati ya shule ambayo inaundwa na Wazazi wenyewe likipitishwa jambo hilo lazima litekelezwe, tatizo ni Wazazi sio watoto wazazi wakiitwa kwenye vikao hawaendi mwisho wa siku maamuzi yanaoitishwa wakati kama wangekuwepo wangekataa na hoja feki zisingepita.,, '' Kubaliana na hali kama hutaki kushiriki pindi inaootekea fulsa.
 
brother achen ungese kabisa achani watoto walipe hyo hela wapate walimu wa masomo ya science watimize ndoto zao
shule nyingi hakuna hao walimu wadogo zetu wanaumia na wakuu wa shule wameamua kukaa kimya kwa kuogopa kutumbuliwa
we unakuja na ungese wako hapa
Utakuwa unatatizwa na ujana mtu mzima hawezi kutoa matusi kama aya. Unaweza kuwa na hoja nzuri lakini ikaaribiwa na uwasirishaji wako '' Rudi darasani kijana ''
 
Back
Top Bottom