Tetesi: Biharamulo: Wanafunzi hufukuzwa kwenye vipindi na kupewa adhabu kwa kushindwa kulipa hela ya Walimu wa ziada

Tetesi: Biharamulo: Wanafunzi hufukuzwa kwenye vipindi na kupewa adhabu kwa kushindwa kulipa hela ya Walimu wa ziada

Wanafunzi wa shule ya secondary LUSAHUNGA wilayani Biharamulo hufukuzwa kwenye kipindi cha sayansi na kupewa adhabu ya kuponda kokoto ndoo 3, kwa kosa la kutolipa mchango wa walimu wa ziada shs 13,000/_ he hiyo ndiyo elimu bure
Zwazwa kweli wewe! Ulitakaje labda? Yaani unakuwa tegemezi hadi kusaidiwa kumlea mtoto wako! Kama kweli wewe ni mzazi basi ulisukumizwa tu kuwa hivyo na huna uchungu wa kuitii ndoto ya mtoto wako. Jiongeze wewe unayesubiri kufanyiwa kila kitu na serikali! Hapo ulipo ni jirani na Burundi unaweza kumhamishia mtoto wako huko ulikopakimbia!
 
brother achen ungese kabisa achani watoto walipe hyo hela wapate walimu wa masomo ya science watimize ndoto zao
shule nyingi hakuna hao walimu wadogo zetu wanaumia na wakuu wa shule wameamua kukaa kimya kwa kuogopa kutumbuliwa
we unakuja na ungese wako hapa
Am a kweli we ni mzururaji kweli kweli, huna lolote
 
Back
Top Bottom