Gamariel
Member
- Sep 8, 2009
- 82
- 6
Habari za mchana. Ndugu wadau naomba kupata ushauri juu ya biashara nzuri ambayo mtu alieajiriwa anaweza kuimiliki na bado akapata faida bila matatizo yeyote. Nasema hivi kwasababu biashara nyingi huhitaji karibia muda wako wote kusimamia. Wafanyakazi wengi hubanwa na shughuli za mwajiri hivyo hushindwa kuendesha biashara zao. Mawazo yenu tafadhali asanteni