Bikira ina nini special kwa watu wa dini hadi waitukuze kiasi hiki?

Bikira ina nini special kwa watu wa dini hadi waitukuze kiasi hiki?

Ni ishara ya usafi na originality, wewe utapenda kununua apple supeMarket ilio g'wantwa tumia your xommon sense uache chuki kwa dini za watu.,
Utajuaje kuhusu bikira ya nyuma?? Kama siku zote alikuwa anatumia nyuma ili kutunza mbele
 
Mkuu mwanamke hufanya comparison kati ya mwanaume mmoja kwenda mwingine, kama kuna msela alishampelekea moto hadi gololi zikagongana tjen ukaja kumwoa wewe goigoi basi jua wazi atamtafuta huyo msela amkate kiu. Ndo maana jamii zote zilithamini sana bikra
Ngoja nikalifanyie kazi hili
 
Back
Top Bottom