Umesha maliza kutukana. Bado haujajibu swali.Very stupid indeed!! Kilichokuchukiza wewe ambacho ni kibaya nimeandika mimi ni nini??
Tya bikira Maria nakumbuka nilikua majengo moshi pale watu walikusanyana kuangalia mlima kilimanjaro...binafsi inina tabia ya kupuuzia baadhi ya mambo ingawa nilikua mdogo lakin sikujishughulisha kwenda kushangaa
Ya kidudumtu nilikua interested kumuona so kila wakinunua mboga za majani nilikua sichez mbali ili nimuone