Bikira Maria wa Mlima Kilimanjaro !

Bikira Maria wa Mlima Kilimanjaro !

Tya bikira Maria nakumbuka nilikua majengo moshi pale watu walikusanyana kuangalia mlima kilimanjaro...binafsi inina tabia ya kupuuzia baadhi ya mambo ingawa nilikua mdogo lakin sikujishughulisha kwenda kushangaa
Ya kidudumtu nilikua interested kumuona so kila wakinunua mboga za majani nilikua sichez mbali ili nimuone

Nilikuwa Majengo P/R wakati huo!! Nililifuatilia kwa namna fulani nikapotezea ila ndiyo nimelikumbuka hivi juzi juzi!!
 
Back
Top Bottom