Ni heshima sna kwa kumkuta mwanamke ambye anafaa kuwa wife kuwa ana bikra ,kuna dada mmoja ambaye nilipanga angekuwa mke wangu na na alikuwa na umri kati ya 25-27,na kunihaidi atanipa siku ya ndoa ,nikapata udhuru wa kusafiri nje ya mkoa kwa mwaka 1,na mawasiliano yalikuwa pale pale,cha ajabu niliporudi akataka gemu,daahh siku amaini kumbe alikuwa ameshaigawa pindi nilipokuwa mbali naye,nilipombana akamtaja jmaa aliyefanya hivyo ,na nilipomuuliza jamaa alikubali,nilichokifanya ni kupiga chini,demu alitaka jiua,coz jamaa naye alikuwa kiwembe mbya,mpaka sasa hivi demu kafulia yaani anachapwa ovyo