Bikira ni kigezo cha kumpenda mwanamke?

Bikira ni kigezo cha kumpenda mwanamke?

Joined
Jan 18, 2012
Posts
16
Reaction score
0
katika jamii nyingi msichana anapokutwa na bikira hueshimiwa sana pia kwa upande mwingine niulize swali kama ukimkuta msichana na bikira na ukaiondoa yaani ukamubikiri kabla ya ndoa anaweza kukushawishi uwe nae daima? vipi upande wake atapenda uwe nae?
 
Binafsi my future wifey nikimkuta bikira nitafurahi sana ..

Inaheshima yake bikira ... Bikira ya ukweli sio ya mchina
 
Bikira sio inshu sana now..days..kinachotakiwa ni mapenzi ya kweli na uaminifu..
Kizazi hiki cha dot.com bikira utaipata wapi?
 
Wakuu samahani napita hapa........
 
katika jamii nyingi msichana anapokutwa na bikira hueshimiwa sana pia kwa upande mwingine niulize swali kama ukimkuta msichana na bikira na ukaiondoa yaani ukamubikiri kabla ya ndoa anaweza kukushawishi uwe nae daima? vipi upande wake atapenda uwe nae?

kama umepata mwenye bikra afu akakuruhusu umbikiri kabla ya ndoa shukuru MUNGU kwasababu siku izi ni wachache sana walionazo ,kuhusu kukushawishi uwe nae daima iyo itategemea na makubaliano yenu kama ulimuahidi lazima atakuganda.
 
spendi bikiraa...nshatoa mbilii ilaa zili nitesaa sanaaa,mwakaa na nusu na bembelezaa nipewee k 2 kaaaaah!!boraa hizi break to tumboo hazinaaa usumbufu,yani.
 
yaani kinababa mnataka muoe mabikra na nyie je mnakuwa mabikra au ndo yale ya 'kwangu pakavu tia mchuzi'?
 
Ni heshima sna kwa kumkuta mwanamke ambye anafaa kuwa wife kuwa ana bikra ,kuna dada mmoja ambaye nilipanga angekuwa mke wangu na na alikuwa na umri kati ya 25-27,na kunihaidi atanipa siku ya ndoa ,nikapata udhuru wa kusafiri nje ya mkoa kwa mwaka 1,na mawasiliano yalikuwa pale pale,cha ajabu niliporudi akataka gemu,daahh siku amaini kumbe alikuwa ameshaigawa pindi nilipokuwa mbali naye,nilipombana akamtaja jmaa aliyefanya hivyo ,na nilipomuuliza jamaa alikubali,nilichokifanya ni kupiga chini,demu alitaka jiua,coz jamaa naye alikuwa kiwembe mbya,mpaka sasa hivi demu kafulia yaani anachapwa ovyo
 
Bikira sio dili! Kwan tutaaminije kama kweli alikua bikira? Mpaka tutest!
 
kila mtu alikuwa na bikira mda fulani.. sidhani kuwa na mwanamke mwenye bikira ndio kigezo cha mke mwema tafakari!
 
Ina raha yake hiyo kitu, japo ningumu sana kwa sasa kuipata..
 
si kigezo ila kupata ni ngumu now adays coz even kindagate ashaanza kuchakachuliwa pole pole,!
 
inamaana na wale waliobakwa hawajui bikra ikoje wasiolewe?
 
sio kigezo kuna michezo mingine ukicheza bikira inatoka yenyewe
 
Bikra ya mwanamke ni zawadi kubwa sana kwake na inatakiwa ailinde na amtunukie yule ambae anajuwa huyu ndio "partner" wa maisha yangu ndani ya ndoa na kwa heshima na taadhima.

Mwanamke anaeolewa na bikra yake haijachezewa, siku zote anakuwa "proud" na anajiamini zaidi katika maisha kuliko ambae kachezewa na kuipoteza hiyo kitu adhim aliyopewa na mola wake kwa upuuzi na ujinga.

Wazazi wanatakiwa wawafunde watoto zao kuwa hakuna mwanamke anachoweza kujivunia katika maisha (internally) zaidi ya bikra yake kuwa alimzawadia the "right person". Na hakuna mwanamme anaekuwa proud zaidi ya yule mwanamme ambae amepata mke aliyomzawadia bikra yake.

Bikra ni zaidi ya maumbile. Ni kitu adhim sana, ni kitu cha kuenziwa sana ni kitu kinachoweza kuwapa furaha wana ndoa katika maisha yao yote.

Siku msichana anapokubali kuondolewa bikra nje ya ndoa ndio siku huyo msichana kajitakia kuwa "dominated" katika uhai wake.

Mabinti chungeni sana bikra zenu na vijana chungeni sana minyoo yenu.
 
Bikra maana yake ni nini? Sio IMPRFORATE HYMEN? Mbona mnajidanganya sana. Huyo mwanamke aliye bikra hedhi yake ilikuwa inatokea wapi?

Wacheni ushamba na majungu. BIKRA ya kweli ni mwanamke ambaye hajawahi kuingiliwa. Thats all lakini sio hati kuna membrane ambayo utaivuja ukiwa wewe ndiyo wa kwanza. Kwanza kumbuka kuwa siku hizi hao wanawake inabidi wafanye mijikazi ambayo hata kama an imperforate hymen itaperforate. Pia wengi wanaji ingiza vidole wenyewe kujikimu haja zao.

Kama ukipata dame ambaye hajawahi kuingiliwa inatosha na hii itakuwa kihoja kwa siku hizi. Usije ukamwacha mkeo kwa kisingizio hati hana bikra.

WEWE MWANAMUME NI BIKRA? Mbona chooni kila siku unachelewa luoga. Huwa una fanya nini? TAFAKARI
 
Actually bikra ni nzuri sna but kuipata siku hiz labda ukatambikie
 
Bikira sio inshu sana now..days..kinachotakiwa ni mapenzi ya kweli na uaminifu..
Kizazi hiki cha dot.com bikira utaipata wapi?

Kibua ! Mbona sikuelewielewi ! Unaposema BIKIRA KWA SIKU ZA SASA ITAPATIKANA WAPI.
Ina maada hawa madada woote Bkra zao zinapotelea wapi ? Na kama dai lako zinavunjwa unproper time it means basi zipo sana plenty! Ispokua tu zinavunjwa premoment.
 
Back
Top Bottom