Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hi jf, natafuta mchumba ambae ana bikira aliyepewa na mwenyezi mungu-not chinise, toka juzi mm na machangudoa basi! natanguliza shukrani kwenu!
bikira ipi unyohitaji ya mbele au nyuma? halafu nikwambie kitu, mbona ni ushamba wa kizamani kuoa bikra? ck hizi wenzio wanachukua ready made from labour market, wewe unataka kutafuta wa kumuanzisha chekechea lini atapata shahada? nadhani ni wakati mmekuwa wazee. think twice about your specifications!:A S embarassed::A S embarassed:
ume-comment kilugha, translator plz!
Mbona Mungu anayemtaja wewe ana herufi ndo mwanzo?(mungu)
hi jf, natafuta mchumba ambae ana bikira aliyepewa na mwenyezi mungu-not chinise, toka juzi mm na machangudoa basi! natanguliza shukrani kwenu!
Huyu ana Mungu wa peke yake ambaye ni mungu, pia roho mtakavitu ndio anamuongoza katika kuwaza na kutenda kwake
Na wewe ungekuwa bikira; ningekufikiria!
Bravoooo! Hapo tu guys ndo hunichosha, yaani ye aruke ruke huko akishachoka ndo anakuja kutafuta bikra! Looh..........an'shangaza!!
We kama si female bas unatabia za kifemale ila kama ni female big up mana ur writtings yanasadifu maumbile yako!Bravoooo! Hapo tu guys ndo hunichosha, yaani ye aruke ruke huko akishachoka ndo anakuja kutafuta bikra! Looh..........an'shangaza!!
uje na shombo za k nyingine kwenye orignal k? Kalagabaho.