Bikira

Bikira

ldd

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
790
Reaction score
128
hi jf, natafuta mchumba ambae ana bikira aliyepewa na mwenyezi mungu-not chinise, toka juzi mm na machangudoa basi! natanguliza shukrani kwenu!
 
bikira ipi unyohitaji ya mbele au nyuma? halafu nikwambie kitu, mbona ni ushamba wa kizamani kuoa bikra? ck hizi wenzio wanachukua ready made from labour market, wewe unataka kutafuta wa kumuanzisha chekechea lini atapata shahada? nadhani ni wakati mmekuwa wazee. think twice about your specifications!:A S embarassed::A S embarassed:
 
Thats ma standing and nobdy can change it! a u goin 2 help me 4 bribe price???
 
hi jf, natafuta mchumba ambae ana bikira aliyepewa na mwenyezi mungu-not chinise, toka juzi mm na machangudoa basi! natanguliza shukrani kwenu!

Na wewe ungekuwa bikira; ningekufikiria!
 
Yethu na maria na yoseph... unatafuta bikira wakai yako ni Used? kipya kwa kipya ndio hunoga wanguu kama vipi njoo hapa karibu yetu kuna St. johns nursery utapata nao ni wale wa pre-unit
 
Bravoooo! Hapo tu guys ndo hunichosha, yaani ye aruke ruke huko akishachoka ndo anakuja kutafuta bikra! Looh..........an'shangaza!!

Umeona eeh; anaharibu vibinti kama vinane hivi then akitaka kuoa anatafuta brand new; sasa sijui aliowachafua wataolewa na nani iwapo kila mwanamume atafuta virgin!
 
Bravoooo! Hapo tu guys ndo hunichosha, yaani ye aruke ruke huko akishachoka ndo anakuja kutafuta bikra! Looh..........an'shangaza!!
We kama si female bas unatabia za kifemale ila kama ni female big up mana ur writtings yanasadifu maumbile yako!
 
Yethu na maria na yoseph... unatafuta bikira wakai yako ni Used? kipya kwa kipya ndio hunoga wanguu kama vipi njoo hapa karibu yetu kuna St. johns nursery utapata nao ni wale wa pre-unit

30 yrs kula ugali arage 2 unaona ni wk?
 
Ni halali yake kuamua si vyema kumpangia atakacho! kama vp ni kumsadia tu ili atimize malengo yake na ndoto zake!
 
Back
Top Bottom