Hpn japo siamini biko na sina mpango wa kucheza biko
Lkn Jana yule jamaa hajakataa kua amecheza biko .lkn amekataa kua hajawahi kushinda tangu acheze biko
Sasa hapo ndo kuna ukakasi kwasababu ili uwe mshindi wa biko ni lzm uwe unacheza Mara kwa Mara ,,Na ili ushinde mil 50 kuna vijizawadi unashinda hapa katikati kama 5000 mpk 50000 ili kukushawishi uendelee kucheza,
Sasa kitu kingine kinachotia shaka. Ni kua
Hv kwa life ya bongo sshv uambiwe umeshinda mil50 hlf unaichukulia poa kiasi kile mpk kina mpoki waanze kukuhamasisha kufurahi,,,,
Hili changa la macho