BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

Habari za Asubuhi wapendwa. mimi naitwa Snitch2020
Bila kupoteza muda napenda kusema kuwa i am so dissapointed kwa niliyoyaona jana katika bahati nasibu ya Biko. Kama kawaida alipigiwa mtu simu na yule mtu alivyopokea akaulizwa kama ameshawahi kushiriki mchezo wa biko na alikataa akasema hapana,akaulizwa tena mara ya pili akagoma na mara ya tatu akakataa sasa wale watangazaji kuua soo wakamwambia basi wewe ndo mshindi wetu wa milion 50, jamaa ndo akaanza kushangilia. sasa najiuliza inakuwaje mtu ambae hajashiriki anashinda pesa? Au ni kipi kilichompelekea jamaa akashinda bila kushiriki? Tulikuwa vijana kibao tunaangalia Biko na wote tulikasirika sana na tulishangazwa na kitendo hichi. Naomba tu ujumbe huu uwafikie biko na watolee maelezo jambo hili kwasababu tumeliona Live na ushahidi upo. Tunaomba maelezo la sivyo hatutacheza tena Bahati nasibu yenu. Wako katika ujenzi wa taifa la viwanda Snitch2020
Ni kweli huyu jamaa alijibu kuwa hajawi cheza,ila ukifuatilia kwa makinj utaelewa utagundua kitu,Wengi wanacheza Biko kimya kimya ila kwenye vijiwe wanapenda kuiponda ,sasa huyu atakuwa yupo kwenye hilo kundi ,alivyopigiwa alijuaa kama kuna mtu anamtest kumpima aone kama anacheza au lah.Ila jamaa alivyojuaa kuwa si utani alifurahi sanaaa,
 
Hata mimi niliona hii kitu, nikalazimika kubadili Channel hapo hapo, ...........There is Someting fishy going on!!
 
mh...marudio mda gan na mm nikachungulie usaliti huu wa waziwazi?
 
What if mkewe alicheza kwa kutumia namber yake..!
 
Habari za Asubuhi wapendwa. mimi naitwa Snitch2020
Bila kupoteza muda napenda kusema kuwa i am so dissapointed kwa niliyoyaona jana katika bahati nasibu ya Biko. Kama kawaida alipigiwa mtu simu na yule mtu alivyopokea akaulizwa kama ameshawahi kushiriki mchezo wa biko na alikataa akasema hapana,akaulizwa tena mara ya pili akagoma na mara ya tatu akakataa sasa wale watangazaji kuua soo wakamwambia basi wewe ndo mshindi wetu wa milion 50, jamaa ndo akaanza kushangilia. sasa najiuliza inakuwaje mtu ambae hajashiriki anashinda pesa? Au ni kipi kilichompelekea jamaa akashinda bila kushiriki? Tulikuwa vijana kibao tunaangalia Biko na wote tulikasirika sana na tulishangazwa na kitendo hichi. Naomba tu ujumbe huu uwafikie biko na watolee maelezo jambo hili kwasababu tumeliona Live na ushahidi upo. Tunaomba maelezo la sivyo hatutacheza tena Bahati nasibu yenu. Wako katika ujenzi wa taifa la viwanda Snitch2020
Mzee hukujua kuwa washindi hupangwa? Mtu akupe hela bure bure bila kazi tena boxi 50 na usawa huu?
 
Ndo hapo sasa...alafu anakuja kuanzisha uzi kabisa!! Eti walichukia kumbafu sana..
Kwakweli nimejifunza kuwa hakuna cha bure na hakuna mtu anaeweza kukupa M50 kwa bahati nasibu bora pesa yangu ningeenda kubet
 
Biko ni wahuni kinachonishangaza kila siku wanashinda wa DSM tu utasikia Mara mbagala,vingunguti,kumara,gongolamboto n.k!
Yaani kila siku ni DSM tu ina maana mikoani hawachezi?
Nyambafuuuuu-in mange kimambi's voice.
 
Back
Top Bottom