Bikra haijawai kumuacha mtu salama

Bikra haijawai kumuacha mtu salama

Didas Nbc

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
472
Reaction score
319
Yule msanii aliyejisifu ni bikra
Screenshot_2017-07-19-22-27-35.png
 
Bado kuchambuliwa km karanga mpk 2020 nyapu nyeusi km kifuti cha ngolo kante mamaeee
 
Mbona mnachelewa kudetect vitu vidogo namna hii?
Unashindwa vipi kujua kuwa hii ni new song inakuja ndiyo na ameanza kuchombeza na picha za kwenye video pamoja na baadhi ya mistari ya hiyo nyimbo ili kupata attention???

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wamechoka kufikiri na mwitikio wa mapokeo upo kimapenzi zaidi

brain is the beautiful part of the body.
 
Naumuona Chemical na yeye kaanza kunywa maji mengi kwa mbaali, mpaka ikifika Christmas atakuwa chotara. Mark my words.
 
Promo at work wiki ijayo bibie chemical ata release new song....
 
Back
Top Bottom