Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Skuizi imekua ni kinyume chake...Zamani kabla hujaoa unaitwa ukweni ulale halafu mwanamke kesho aulizwe kama uko vizuri sasa sielewi ilikuwa inakuwaje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Skuizi imekua ni kinyume chake...Zamani kabla hujaoa unaitwa ukweni ulale halafu mwanamke kesho aulizwe kama uko vizuri sasa sielewi ilikuwa inakuwaje.
Umeona eeehh, mi niko vizuri nikipigwa interview nafunguka vile ambavyo havina madhara kwa jamii
Imekuwaje? DokezaSkuizi imekua ni kinyume chake...
Maneno ya mkosajiMi mademu bikra nilishasemaga sigongi hao..! Haya mambo ya "Naumiaa naumiaa" siyataki mie..! Mi nataka kanyaga twende kitu mterezo..!
Hata leo ukiileta mbunye yako ikiwa na kutu ntakwambia tafuta mtu mwenye kuweza kuvumilia usumbufu aitoe then ndo uilete tena..!
SHUBAAMITI..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani umenimaliza mkuu, kama nakuona vile.
Naona taswira na kila dalili ya interview again...
Naomba nikufanyie interview kwenye kipindi changu hapa jf nimekupenda unawezaHahaha sio kisu sana ila, nafaa kutoka na yeyote out asijisikie vibaya tena bila make up. Sina baby face za akila Lulu, Tunda. Ila wale wakifikisha umri wangu watakuwa wabaya
Bikra ni utukufu wa mwanamke,,,ushahidi upo kwenye aya nyingi tu za Quran....
Ulieitoa kwa bahati mbaya au ulirubuniwa au kiherehere chako,Pole!!
Zinaa zimekithiri ndio maana watu wanaona bikra imekua adimu
Afu nyie wanaume mnaojifanya hamshobkki kwa bikra acheni kufurahisha genge na uongo mxiew
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikufanyie interview kwenye kipindi changu hapa jf nimekupenda unaweza
DJ sepetu
Wapo nilimtoa mmoja akiwa na 34+Mume bikra!! Ndo nasikia Leo!
DJ sepetu
Acha kabisa wana theory ila practical ndo hivyo atakavyopagawa utamuonea imani[emoji23] [emoji23] alikuwa hajui at a gauge ipi abofye eti
DJ sepetu
Hahaha sio kisu sana ila, nafaa kutoka na yeyote out asijisikie vibaya tena bila make up. Sina baby face za akila Lulu, Tunda. Ila wale wakifikisha umri wangu watakuwa wabaya
Haha ndo itanoga lengo ni kujifunza tu!
Umeona interview niliyomuhost husnabosslady!?
DJ sepetu