Bikra Na umuhimu wake ktk mahusiano Na ndoa

Maneno ya mkosaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bikra ni utukufu wa mwanamke,,,ushahidi upo kwenye aya nyingi tu za Quran....

Ulieitoa kwa bahati mbaya au ulirubuniwa au kiherehere chako,Pole!!
Zinaa zimekithiri ndio maana watu wanaona bikra imekua adimu

Afu nyie wanaume mnaojifanya hamshobkki kwa bikra acheni kufurahisha genge na uongo mxiew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha sio kisu sana ila, nafaa kutoka na yeyote out asijisikie vibaya tena bila make up. Sina baby face za akila Lulu, Tunda. Ila wale wakifikisha umri wangu watakuwa wabaya
Naomba nikufanyie interview kwenye kipindi changu hapa jf nimekupenda unaweza

DJ sepetu
 

Kabisa mkuu, hata mimi nilifuata mkumbo japo ndo hivyo raha muoane mume bikra mke bikra mnaanza tendo la ndoa.
 
Asante. Chagua mwingine tatizo ntaongea ukweli na ninyi hampendi. Wacha nibaki msomaji
Haha ndo itanoga lengo ni kujifunza tu!
Umeona interview niliyomuhost husnabosslady!?

DJ sepetu
 
Hahaha sio kisu sana ila, nafaa kutoka na yeyote out asijisikie vibaya tena bila make up. Sina baby face za akila Lulu, Tunda. Ila wale wakifikisha umri wangu watakuwa wabaya



Hahahaha mkuu mm nimekupata vizuri. Mara nyingi visu huwa hawapendi kujitangaza, ila nimeshajua hutaki kujisifia. Hongera mkuu, mwache shemeji afaidi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…